Matokeo ya Tanzania vs Algeria yafutwa

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Msajiri wa timu jiji cairo amefuta matokeo ya jana na ametishia kufuta mashindano hayo kama Tanzania haita fanikiwa kuingia 16 bora.

Hayo yametokea baada ya shirika la mpira africa kupeleka mswada wa dharura kuipa nguvu ofisi ya msajiri .

Msajiri ameonya yoyote atakaye jaribu kulalamika atafutiwa usajiri.

Habari kutoka Tabutupu TV
 
[emoji3][emoji3][emoji3] tanzania ya viwanda sas mpira wa nn
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…