Leta ushahidi, weka link za thread zakoMechi ya 5-1 nilileta kama yalivyo mpaka tukio la Kibu kuumia, mechi yamwisho nilileta matokeo na kusema Simba watajifunga. Baada ya mechi hii njoo hapa.
Leta ushahidi, weka link za thread zako
Mzinze 3Kutoka Uvinza Kigoma, babu radi ameangalia dakika 90 za mchezo na mambo yakawa hivi.
Y= Yanga
A= Ameiua
S= Simba
Matokeo kamili ni
6-0
Prince Dube - 3
Aziz Ki - 1
Max Nzingeli 1
Baka - 1 (goli la kichwa)
Goli moja la Dube litaleta malalamiko.
Ushauri:
Magoli yanaweza kupunguzwa endapo kocha hatawaanzisha Mukwala na Ateba maana timu itacheza kwa kujilinda wakijua hawana ma forward wa maana. Ikitokea mmoja kati yao ameanza basi 6 ni uhakika.
Hao wazee?Ingawa mchezo wa Derby huwa hautabiliki! Ila Simba wakubali tu wana wakati mgumu sana kucheza na timu yenye wachezaji aina ya Aziz Kii, Prince Dube, Clement Mzize, Max Nzengeli, Pacome Zouazoua, na wengineo wwngi!
Ni hatari aisee!! Anything can happen.
Kuifng atutaifunga simba ila sidhani kama tutaifunga magoli haya yote.Kutoka Uvinza Kigoma, babu radi ameangalia dakika 90 za mchezo na mambo yakawa hivi.
Y= Yanga
A= Ameiua
S= Simba
Matokeo kamili ni
6-0
Prince Dube - 3
Aziz Ki - 1
Max Nzingeli 1
Baka - 1 (goli la kichwa)
Goli moja la Dube litaleta malalamiko.
Ushauri:
Magoli yanaweza kupunguzwa endapo kocha hatawaanzisha Mukwala na Ateba maana timu itacheza kwa kujilinda wakijua hawana ma forward wa maana. Ikitokea mmoja kati yao ameanza basi 6 ni uhakika.
Kwa Azam na Tabora huo ugumu ulienda wapi?Ingawa mchezo wa Derby huwa hautabiliki! Ila Simba wakubali tu wana wakati mgumu sana kucheza na timu yenye wachezaji aina ya Aziz Kii, Prince Dube, Clement Mzize, Max Nzengeli, Pacome Zouazoua, na wengineo wwngi!
Ni hatari aisee!! Anything can happen.
Alipofikia tumuombee tuukiwahi kitapona