Matokeo ya ualimu ni janga lingine la taifa

MTONILIST

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
78
Reaction score
11
matokeo ya ualimu yametangazwa ila hali ya ufaulu imekuwa mbaya kuliko maelezo sijui ni kwanini. tuunde tume nyingine ila hii ya leo naomba na mimi niwepo ndani ili nitoe sababu mbadala ya hali hii au ndo hayo mambo ya big result now.:embarrassed1:
 
Teacher: what is a family?
Student: a family is a medicated soap
Teacher: umepataaaaaaa.....
 
Nadhani tumeshajadili hii kitu...!!
 
Haha mkuu inakera ndo maana hivi walimu 345 kusup ndani ya chuo kimoja si ni aibu
 
Kwa bongo maajabu yataendelea kutokea

"Nchi ngumu hii"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…