M Mary ngusa Member Joined Jul 7, 2013 Posts 18 Reaction score 2 Jul 31, 2013 #1 Ivi jaman inamaana wanaofeli ualimu kwa sasa hawapewi chance yakurudia pepa na ajira lini za hawa walimu wa mwaka 2013
Ivi jaman inamaana wanaofeli ualimu kwa sasa hawapewi chance yakurudia pepa na ajira lini za hawa walimu wa mwaka 2013
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Jul 31, 2013 #2 kwa kweli mi sifahawu dadangu, ngoja wanaojua waje kukusaidia.
H Hatugombani JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 1,142 Reaction score 805 Jul 31, 2013 #3 Ukifeli masom 4,unatakiwa urudie,fail moja had nne ni sup,ukifel 5 umekosa sifa ya kuendelea kuwa mwl.
Ukifeli masom 4,unatakiwa urudie,fail moja had nne ni sup,ukifel 5 umekosa sifa ya kuendelea kuwa mwl.