Elections 2010 Matokeo ya Ubunge Mbeya vijijini vurugu tupu!!!

TGS D

Senior Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
114
Reaction score
13
Taarifa kutoka Mbeya ni kwamba wananchi wameamua kuandamana kushinikiza kutolewa kwa matokeo ya jimbo la Mbeya vijijini. Wananchi wamekabiliana na askari katika eneo la Mbalizi, pia katika jengo la mkuu wa wilaya ya mbeya ambapo ndipo matokeo yanatarajiwa kutangazwa.

Wananchi wanadai kwamba kuna mabox ya kura yanataka kuingizwa kwa siri yakitokea jimbo la Rungwe mashariki.

Updates zaidi zikipatikana tutapeana wakuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…