sio mbaya..tumewabana vizuri..
Safari hii yawezekana Uraisi ukaamuliwa na kura chache sana.......................Inanikumbusha Marekani Gore vesus Bush (2000)..................
Tunamwomba MUNGu yasibadilike Kote iwe hivyo!Wapiga kura 147
Urais
CCM -72,
CHADEMA - 71,
CUF - 3,
NRA, TLP & APPT - 0.
Uubunge
CCM - 60,
CHADEMA - 72,
CUF - 8,
NCCR - 0,
TLP - 1.
Diwani
CCM - 64,
CHADEM - 64,
CUF - 19
Mkuu usijidanganye, we subiri matokeo ya vijijini yaanze kumiminika, maana huko ndiko kuna opportunity pekee ya kuchakachua. Kijiji kina watu 100 kura 10,000 ndipo utakapojua kuwa kilichofanyika leo ni usanii mtupu wa kuionesha dunia kuwa Tanzania kuna Demokrasia
WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.
Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea
Urais:
CCM - 27
CHADEMA - 142
CUF - 3
Ubunge:
CCM - 22
CHADEMA - 142
CUF - 6