Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Tanga

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Habari nilizozipata sasa hivi

CCM 89%

CUF 8%

Chadema 3%

nitaendelea kuwaabalisha maana CCM inaongoza hata mikoa mingine
 
Hujui uliko, amka kumekucha wewe! CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!:yield:
 
Watu wa Pwani hao wanajuana kwa Vilemba
 
umechakachua! Tupe actual number not percent
 
Jina tu la mtoa mada limenifanya ninuse harufu ya uchakachuaji chakachuaji hivi
 
Habari nilizozipata sasa hivi

CCM 89%

CUF 8%

Chadema 3%

nitaendelea kuwaabalisha maana CCM inaongoza hata mikoa mingine

Uchaguzi wa Mwaka huu uwezekano wa mgombea wa chama fulani kupata over 80% kwenye jimbo siyo rahisi, maana kuna ushindani mkali sana hata kule ambako watu wanasema upinzani ni hafifu. Kwa hiyo hii taarifa yako ina walakini.

Malaria Sugu yuko wapi? Au amepata dose ya kueleweka? Naona jamaa wanasafisha mpaka mazalia ya mbu yanayoleta malaria sugu!
 
huku tanga habbari ya uraia hakuna watu hawajitambui,
Nishaona kuwa wanashabikia kama yanga na simba sc
 
Tanzania ina mikoa zaidi ya ishirini so Tanga is just a dot..... alama ya + ndio itasema ukweli
 
Tanzania ina mikoa zaidi ya ishirini so Tanga is just a dot..... alama ya + ndio itasema ukweli

Mwonee huruma. Kwani huoni na yeye alivyoandika?

Jeykeywaukweli said:
Habari nilizozipata sasa hivi

CCM 89%

CUF 8%

Chadema 3%

nitaendelea kuwaabalisha maana CCM inaongoza hata mikoa mingine
 
Habari nilizozipata sasa hivi

CCM 89%

CUF 8%

Chadema 3%

nitaendelea kuwaabalisha maana CCM inaongoza hata mikoa mingine

Mh! jamani mbona mi nasikiliza ITV thru bongo radio n naambiwa kuwa Tanga CUF ana 972 n CCM ana 1109 approx, so how comz iwe ni CCM 89% n CUF 8% ?? mnachakachua hadi maths
 
kama sijakosea hayo ni matokeo ya kata mbili.... mengine bado na kuna mchuano mkali sana!!!
 
Hahahaha jeikey endelea kuota maana ndoto ni haki ya kila mtu.
Mwaka mbaya sana huu
Mwambie RIZ1 kuwa tunamvua uwakili wake very soon ili apitie njia halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…