Je ni bora kupinga matokeo kabla ya kutangazwa na tume au ni vema kunyamaza kisha kulalamika wakati rais kesha tangazwa na kuapishwa? kwa maoni yangu naona ni bora kulalamika na kuonyesha kasoro na madhambi yaliyofanyika kabla matangazo hayajakamilika ili haki itendeke...hii ni kwa kuwa sheria ya nchi hairuhusu kupinga matokeo ya urais mara yanapomaliza kutangazwa na rais kuapishwa!!!!
:smile-big: na hapo ndipo patamu, katiba mbovu, tume ya uchaguzi mbovu, wachakachuaji kura wasiojua hesabu, ufisadi mtupu:A S angry: na kwa hakika hakuna kitakachomzuia Rais kuapishwa
Duh! hata sura zao sitaki kuziona..ni wasaliti wakubwa hawa
Matumaini ni kwamba wanapambana na mtu mwelewa aliyebobea pia kwenye sheria.
Amini nawaambia lewis na genge lake la majambazi hawana ubavu wowote wa kukabiliana na Slaa (PhD) aliyejipambanua kama mkombozi wa waTz wengi wanyonge.
Maajabu haya. Hapo naona idadi ile ile ya watu wa majimbo ya Geita na Nyang'wale wana preferences zinazofanana 100% kwa wagombea wote (kwa idadi sawa!). How on earth can this be true?