Matokeo ya uchaguzi Simba. Saidi Mkwabi ni nani katika soka?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Matokeo
Mkti-Sued Mkwabi kura 1579 kayi ya 1628

Wajumb:
Asha Baraka. -1180
Hussein Kitta. - 958
Dr Zawadi. - 830
Seleman Harub. -740
Mwina Kaduguda -577
Elia Alfred Martin. -530
Juma Pinto. - 440
Jasmin Soud. - 368
Patrick Rweyemam-349
Abubakar Zebo. -301
Iddi Kajuna. -270
Said Tully. -247
Ally Suru. -217
Chris Mwansasu -186
Hamis Mkoma. -174
Mohamed Wandwi-124
Abdallah Migomba -97

Washindi ni
1. Hussein Kitta
2. Dr. Zawadi
3. Haroub Seleman
4. Mwina Kaduguda
5. Asha Baraka

Nimefarijika sana kumuona Mwina Kaduguda akirejea Simba kwa kishindo. Watu wenye misimamo mikali kama Mwina ni muhimu sana. Nimeshtushwa pia kina Saidi Tully na Kajuna kupigwa chini.
 
Mkuu nildhani ,uanataka kuandika kuhusu Said Mkwabi,...ngoja waje wajuuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…