Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara mchuano ni CCM vs CUF, chadema hatukuweka efforts za kutosha maeneo haya. siku zijazo tusiache any stone unturned!
CCM na watu wa Pwani damu damu
waislam wamepiga hivi wakiwa na imani ya ahadi ya OIC na mahakama ya kadhi! wakigundua kuwa ni garasha watachoka wenyewe. Ninaona udini umeishachukua sehemu yake TZ na matokeo ya pwani yana reflect. Halafu najiuliza 2015 CCM watachagua tena mwislamU?
Uko sahihi kabisa mkuu. Na bunge la mwaka huu si la kuburuza tena. Suala la mahakama ya kadhi na OIC wasahau kabisa. Nasikia hizo ndo zilikuwa kampeni za Makamba huko misikiti akiwadanganya hivyo.
wala sishangai kwani pwani yote inanuka udini. wanawapigia "waswahili" wenzao ili waendeleze uswahili. halafu viongozi wa dini wa kiislam wanajifanya wanasisitiza kuwa watanzania tusichague kwa kuzingati dini. lakini wakiwa ndani ya misikiti wanahamasishana kwamba lazima wawapigie ndugu zao waislam. tutaonana 2015 Mungu akitujalia uzima.
haya ni mawazo nusu mgandowala sishangai kwani pwani yote inanuka udini. wanawapigia "waswahili" wenzao ili waendeleze uswahili. halafu viongozi wa dini wa kiislam wanajifanya wanasisitiza kuwa watanzania tusichague kwa kuzingati dini. lakini wakiwa ndani ya misikiti wanahamasishana kwamba lazima wawapigie ndugu zao waislam. tutaonana 2015 Mungu akitujalia uzima.
Du.......
Ndo ukweli wenyewe kwani Viongozi wa Kikristu wengi wanashawishika kwa upuuzi mdogo tu .... mfano Askofu Kulola.haya ni mawazo nusu mgando
Kura za mwaka huu ni za kidini zaidi na uislamu mara zote ni easy target lakini kama utasoma between lines dini ndio imeamua nani awe kiongozi safari hii, sasa ni kusubiri kujua dini ipi imeibuka kidedea. Ukabila umechangia lakini kidogo sana ukilinganisha na udini.
Dini zimetoa muongozo mapema sasa matokeo yanaonyesha kilichopendekezwa na dini zinanguvu kuliko vyama bongo, next election dini zitaleta vita bongo manake wananchi hawana uwezo wa kuhoji miongozo na amri za viongozi wao wa dini. Pia mwaka viongozi wa dini pia wanatinga bungeni kama wawakilishi wa wananchi patamu zaidi pale maslahi yatakavyogongana.
Si mpaka tufike huko tukiwa na Tanzania yenye kuweza hata kufanya uchaguzi......Hofu yangu hizi vurugu za kudai matokeo zinaweza kubadilika kuwa vurugu za makundi ya kidini na kuwaka nchi nzima maana mazingira ya kuwezesha hilo tayari yameshaandaliwa.....
Ndo ukweli wenyewe kwani Viongozi wa Kikristu wengi wanashawishika kwa upuuzi mdogo tu .... mfano Askofu Kulola.
Naamini kuwa mwaka 2015 kizazi kijacho kitaipa nguvu sana Chadema.
Ukweli ni kuwa come to 2015...kuna uwezekano mkubwa kuwa CHADEMA itakuwa just another CUF of the "others"......