Elections 2010 Matokeo ya uchaguzi Tanga

Habari ndio hiyo mazee. Ukweli umemwagwa sakafuni
 
Mkoa huu unazidi kudidimia kadri miaka iendavyo na wananchi wa Tanga line linapokuja suala la siasa wao ni kijani damu! Sijui lini wagosi mtaelimika kama wenzenu ambao wameonyesha kutodanganywa kijinga kama Arusha, Mwanza, Mbeya nk.
Yakhee, waghosi na Wavyele amkeni na acheni kudanganywa na na CCM!
Acheni kunywa Anjari na Vimto ha ha ha!
Mlikuwa na viwanda vya aina vyote pale mjini lakini leo hii vyoote vimekufa kasoro Saruji tuu. Mwaahidiwa kila siku ahadi tele zisizotekelezeka. JK na Bilal this time wameahidi kufufua viwanda vyoote vilivyokufa hapo mjini (Fertilizer, Steel Rolling Mills, Sikh Saw Mills etc. haya yangu macho ikija 2015 itakuwa yale,Huo mji sasa umekuwa kama vile Bagamoyo ya ancient times before Christ. Acheni ujinga
Tanga mnani?
mdau Los Angeles
 
:doh:
Du! Kweli hamjui upepo. kampeni za mwakahuu zimedhihirishaudini na ukabila.
Pengo alimwambia JKnina kuranyingi mkononi mwangu , ukitakaUrais unione.
JK hakumuona na hivyo sasa zipo kwa mzinzi Slaa.:yield:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…