Matokeo ya Uchaguzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi katika Klabu ya Simba

Matokeo ya Uchaguzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi katika Klabu ya Simba

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
MSHINDI NAFASI YA MWENYEKITI
-Swedi Mkwabi

WASHINDI NAFASI YA WAJUMBE BODI YA WAKURUGENZI.
-Asha Baraka
-Hussein Kitts
-Dkt Zawadi Ally
-Selemani Said
-Mwina Kaduguda.

MAONI YANGU:
Uchaguzi umeisha na waliopita ndo viongozi wetu uwe hukuwapigia kampeni au uliwapigia,uwe huwapendi au unawapenda hao ndo viongozi wetu na si wengine tena,tuheshimu maamzi ya wengi bila kujali wewe ulikuwa upande upi,hivi ndo demokrasia inavyofanya kazi..
Tuuunge mkono kwa nguvu zote uongozi mpya ili simba isonge mbele.
Kwa wale walioshindwa wasiwe na kinyongo na kupelekea figisufigisu,wakubali tu kuwa hata wao kuna siku watakuwa bora mbele ya waliopita,cha muhimu subra na uvumilivu km kweli walikuwa na dhamira ya kweli.

SIMBA NGUVU MOJA
FB_IMG_1541387330305.jpg
 
Hongera viongozi wapya, tunataka Simba yenye Nguvu Moja...Doooh rafiki yangu Said Tully amekosa ujumbe?
 
Mwinaaaaaa safi sana mzee msomi mwenzangu. Tully vipi jamani kama kuna kacheo cha kuteuliwa apewe
 
CEO atayeshika mpini ni Magori. Atawaletea mafanikio ya NSSF. Yajayo yanafurahisha
 
Back
Top Bottom