LGE2024 Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yakoje mtaani kwako? Nani Kashinda?

LGE2024 Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yakoje mtaani kwako? Nani Kashinda?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nawe tupe taarifa za mshindi mtaani kwako.
Kwangu mpaka nimetoka asubuhi hii yalikuwa bado, ilikuwa kura ya ndio au hapana kwa CCM sidhani kama itakuwa tofauti.... ni mwendo wa kupita tu kwa niliyoona jana wakati wa kupiga kura
 
Kwangu mpaka nimetoka asubuhi hii yalikuwa bado, ilikuwa kura ya ndio au hapana kwa CCM sidhani kama itakuwa tofauti.... ni mwendo wa kupita tu kwa niliyoona jana wakati wa kupiga kura
Tuwekee tuone.
 
Kwangu mpaka nimetoka asubuhi hii yalikuwa bado, ilikuwa kura ya ndio au hapana kwa CCM sidhani kama itakuwa tofauti.... ni mwendo wa kupita tu kwa niliyoona jana wakati wa kupiga kura
Huu uchaguz umeujumiwa ,yaan Waziri wa tamisemi ni mwana CCM na ndiye anayesimamia uchaguz halafu wapinzan wanakubali kushiriki,wakishindwa wanaanza kulalamika,mambo mengine ni ya ajabu sana
 
Hakuna matokeo ni upotevu wa pesa na mauaji ya raia
Noma sana, uchaguzi huu naona umekuwa funga kazi. Hivi imeshawahi kutokea viongozi wa chama kimoja wakauliwa kama hivi kwenye uchaguzi hapa TZ?
 
CCM Imeshinda kwa kishindo kikuu kilichopelekea watu kufurahia mpaka wanajikuta wanabubujikwa na machozi ya furaha
 
Hapa mtaani kwangu kashindwa CCM. Ni ujinga kweli kweli
 
Hi
Huu uchaguz umeujumiwa ,yaan Waziri wa tamisemi ni mwana CCM na ndiye anayesimamia uchaguz halafu wapinzan wanakubali kushiriki,wakishindwa wanaanza kulalamika,mambo mengine ni ya ajabu sana
Hivi huyo si ndiye mkwewe Samia.
 
CHADEMA TUKIENDELEA KUSHUPAZA SHINGO TUNAKWENDA KUWA KAMA NCCR MAGGEUZI AU CUF

TURUDI TULIPOJIKWAA TUANZE SAFARI UPYA
 
Acheni kuhalalisha uovu wenu,haukua uchaguzi bali uchafuzi,yaani ni kama bondia anapigana na bondia mwenzie aliefungwa mikono na miguu alafu akashangilia ushindi.
 
Ni upuuzi mtupu...

Sikujiandikisha..lkn jana asbh nimefuatwa hm na mjumbe wa chama fulani , nikapige kura.

Nikamjibi 'sikujiandikisha' akanambia we nenda tu pale kituoni utamkuta fulan na fulani....ukifika jifanye unatafta jina lako hlf wao watakwambia ' jina hili hapa'....utapewa karatas ya kura then imeisha hyo.
 
Hapa mtaani kwangu ameshinda CCM lakini anastahili weli Yule jamaa. Ni mmoja ya Wanaccm wachache wenye akili na weledi mkubwa. Sina hakika na wajumbe wake ila kwa yeye mwenyekiti ni superbrand Ile, wananchi wote tumempa Kura bila kujali chama chake
 
Huu haukuwa uchaguzi Bali ulikuwa ni uchafuzi.uchaguzi Gani unasababisha mauwaji huko iringa?
 
Back
Top Bottom