Tuwekee tuone.Kwangu mpaka nimetoka asubuhi hii yalikuwa bado, ilikuwa kura ya ndio au hapana kwa CCM sidhani kama itakuwa tofauti.... ni mwendo wa kupita tu kwa niliyoona jana wakati wa kupiga kura
Huu uchaguz umeujumiwa ,yaan Waziri wa tamisemi ni mwana CCM na ndiye anayesimamia uchaguz halafu wapinzan wanakubali kushiriki,wakishindwa wanaanza kulalamika,mambo mengine ni ya ajabu sanaKwangu mpaka nimetoka asubuhi hii yalikuwa bado, ilikuwa kura ya ndio au hapana kwa CCM sidhani kama itakuwa tofauti.... ni mwendo wa kupita tu kwa niliyoona jana wakati wa kupiga kura
Hivi huyo si ndiye mkwewe Samia.Huu uchaguz umeujumiwa ,yaan Waziri wa tamisemi ni mwana CCM na ndiye anayesimamia uchaguz halafu wapinzan wanakubali kushiriki,wakishindwa wanaanza kulalamika,mambo mengine ni ya ajabu sana