Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi wa Ubunge TZ

Tume inashangaza sana!! Hivi inakuwaje matokeo ya Longido au Mpanda yanapatikana kabla ya Dar, Mwanza, Moshi, Arusha, Mbeya na miji kibao yenye infrastracture nzuri.
 
Wadanganyika,

Hamjui kwamba mnapumbazwa ili msahau matokeo ya URAIS na kukimbilia ya UBUNGE.... Hapa hapa ndio Majangili wa nchi hii wanapopewa mwanya wa kuchakachua matokeo.... Nchi imeishauzwa hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…