ktk uchaguzi ujao kutakuwa na waangalizi wa nje na ndani wa uchaguzi,wao pia watashiriki pia ktk zoezi zima la kuhesabu kura ktk vituo mbalimbali,je matokeo ya waangalizi pia yatangazwe kuona kama yale ya nec hayajachakachuliwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.