Elections 2010 Matokeo ya uchaguzi ya nec yatafanana na ya observers?

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
ktk uchaguzi ujao kutakuwa na waangalizi wa nje na ndani wa uchaguzi,wao pia watashiriki pia ktk zoezi zima la kuhesabu kura ktk vituo mbalimbali,je matokeo ya waangalizi pia yatangazwe kuona kama yale ya nec hayajachakachuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…