Elections 2010 Matokeo ya UDIWANI BUKOBA Mjini

Kenge (Eng)

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2006
Posts
543
Reaction score
160
Habari ndio hiyo. KATA 8 matokeo yametangazwa 4 CCM - 4 Upinzani
1. Kata ya Ijugayondo ilikotua Elcopter ya Slaa - CHADEMA (ilikuwa CCM)
2. Kata Kibeta kwa Lwakatare - CHADEMA (ilikuwa CUF)
3. Kata Rwamishenye - CHADEMA (ilikuwa CUF)
4. Kata Bilele - CUF (ilikuwa CUF)
5. Kata Kagondo - CCM (Anatory Amani aliyetemwa kuwa sio raia na CCM wakat huo akiwa m/kiti wa CCM wa Mkoa. (ilikuwa CCM)
6. Kata Hamgembe - CCM (ilikuwa CUF)
7. Kata nyanga - CCM (ilikuwa CCM)
8. Kata Miembeni - CCM. (ilikuwaCCM)
 
Mchuano ni mkali sana lakini hayo ni mapinduzi huenda Chadema na CUF wataongoza jimbo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…