suala la kutangaza matokeo kila sehemu duniani ni mamlaka ya tume .
Tatizo wewe ni mshabiki sio mchambuzi na mfatiliaji wa siasa ila unafata mkumbo majimbo kama hai JK amepata kura nyingi zaidi ya slaa,Nyamagana na ilemela tayari sasa tatizo la watanzania kama wewe unataka kujifanya wewe jaji,wewe daktari,wewe tume,wewe mhadhiri maana suala la kutangaza matokeo kila sehemu duniani ni mamlaka ya tume kulingana na upatikanaji wa matokeo na kama una mtazamo hadi sasa JK anakura karibu 2.6 millioni sawa na asilimia 64 na Slaa laki 8 source gazeti la mwananchi huwezi kulalamika sasa acha ushabiki angalia mwelekeo wa matokeo.