Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Matokeo ya Urais Yanayotangazwa na NEC yana Harufu ya Uchakachuaji
Ni jambo lisiloingia akilini eti kikwete amemzidi Dr. Slaa hata kwenye majimbo ambayo wagombea ubunge wa Chadema wameshinda. Wananchi wengi mitaani wanashangaa na wanashindwa cha kufanya zaidi ya kusikitika. Wanaoweza kuwasaidia wananchi ni Chadema yenyewe na wanaharakati. Lazima hatua stahili zichukuliwe ili ikiwezekana zoezi la kuhakiki na kuhesabu kura lifanyike upya ili haki itendeke. Inawezekana ni kweli kwamba kikwete ameshinda lakini siamini kama amemshinda Dr. Slaa kwa tofauti kubwa kiasi hicho. Chonde chonde viongozi wa Chadema chukueni hatua wananchi tupate amani.
Hii mbona ni thread yangu...can't you at least acknowledge my work.........................plagiarism is a work of a copycat and a copycat never learns...........
Ni jambo lisiloingia akilini eti kikwete amemzidi Dr. Slaa hata kwenye majimbo ambayo wagombea ubunge wa Chadema wameshinda. Wananchi wengi mitaani wanashangaa na wanashindwa cha kufanya zaidi ya kusikitika. Wanaoweza kuwasaidia wananchi ni Chadema yenyewe na wanaharakati. Lazima hatua stahili zichukuliwe ili ikiwezekana zoezi la kuhakiki na kuhesabu kura lifanyike upya ili haki itendeke. Inawezekana ni kweli kwamba kikwete ameshinda lakini siamini kama amemshinda Dr. Slaa kwa tofauti kubwa kiasi hicho. Chonde chonde viongozi wa Chadema chukueni hatua wananchi tupate amani.
Hivi wewe uko Tanzania hii au Marekani kama wenzio wengi. Kwa kukusaidia ni kwamba siasa za Tanzania bara ziko hivi : Watu wanapiga kura kumchagua mtu na si Chama. Just do little hommework na utajua ninachokwambia, ndiyo maana hata Chadema imependwa zaidi baada ya kumteua Dr Slaa kugombea nafasi ya Urais. Ni credibility ya Dr. Slaa as a person that have made a very good contribution to ChademaM thanks 2him.