Nimewasikitikia Singida mjini...wamempa jk 19,000 dhidi ya 5,000 za daktari wa ukweli..
wasije wakawa katika mchakato wa uchakachuaji maana kwenye ubunge ngoma imekuwa ngumu kuchakachua
jk amepiga stop wasiyatangaze anaogopa yatasababisha tention nchini kwa kuwa matokeo ya awali yanaonyesha slaa anaongoza...wakuu lengo la kugoma kutangaza pia ni kusababisha watu waanze kuyadai....ili watume vikosi vya jeshi kuzima vurugu feki na ikiwemo kusababisha mabox yavurugike alafu uchaguzi uwe umeharibika...
hatuhangaiki na Urais kwa kuwa taswira iko clear kuwa JK atachukua. ni vema tu-concetrate kwenye ubunge na udiwani. ya Urais yataumiza vichwa vyetu pasipo sababu.
hofu yangu ni kwamba jf naona interest ya waliowengi ni kwenye majimbo ya uchaguzi ambayo yanaonesha chadema inaongoza na hawataki kabsaaaa kusema pale chadema inapoangukia pua ndio maana nakua na wasiwasi juu ya taarifa nyingi. Sitaki tuumizane kwa kupeana matumaini makubwa. Dr. Jk bado atashinda ila kwa asilimia ngapi, bado nim kitendawili. Thithiem bado wako fiti maeneo mengi kinoma.
jk amepiga stop wasiyatangaze anaogopa yatasababisha tention nchini kwa kuwa matokeo ya awali yanaonyesha slaa anaongoza...wakuu lengo la kugoma kutangaza pia ni kusababisha watu waanze kuyadai....ili watume vikosi vya jeshi kuzima vurugu feki na ikiwemo kusababisha mabox yavurugike alafu uchaguzi uwe umeharibika...
Hofu yangu ni kwamba JF naona interest ya waliowengi ni kwenye majimbo ya uchaguzi ambayo yanaonesha Chadema inaongoza na hawataki kabsaaaa kusema pale Chadema inapoangukia pua ndio maana nakua na wasiwasi juu ya taarifa nyingi. sitaki tuumizane kwa kupeana matumaini makubwa. Dr. JK bado atashinda ila kwa asilimia ngapi, bado nim kitendawili. Thithiem bado wako fiti maeneo mengi kinoma.
acha hizo kaka. Unaupotosha umati tu hapa. Mshindi akiwa chadema matokeo halali, akishinda ccm yamechakachuliwa. Ebu tuwe na ukomavu na tuache demokrasia ichukue mkondo wake. So far upinzani una viti 20, which is good. Ukichanganya na zanzibar, bunge la jamhuri lijalo litakuwa la ukweli. Tusubiri tu hayo ya uraisi na tuwe tayari kuyakubali. Either way.
Jamani eeeh matokeo ya uraisi vipi? Mbona hakuna anayeyazungumzia? Maana kila mtu kajikita kwenye ubunge...kwa nini ya uraisi hayazungumziwi wala kutolewa?
Acha hizo kaka. Unaupotosha umati tu hapa. Mshindi akiwa Chadema matokeo halali, akishinda CCM yamechakachuliwa. Ebu tuwe na ukomavu na tuache demokrasia ichukue mkondo wake. So far Upinzani una viti 20, which is good. Ukichanganya na Zanzibar, bunge la jamhuri lijalo litakuwa la ukweli. Tusubiri tu hayo ya Uraisi na tuwe tayari kuyakubali. Either way.
ndio tunakoelekea mkuu ...slaa na timu yake kokote uliko ...kwa nini matokeo ya urais hayaji?????.....kama itv wamepiga stop yabandikeni hapa....hakuna mtu mwenye link itv tupenyezewe matokeo hapa!!!.....tunaibiwa !!!.tunaibiwa!!!....kokote mlipo wakiwemo wazalendo wa usalama leteni taarifa!!
Jamani eeeh matokeo ya uraisi vipi? Mbona hakuna anayeyazungumzia? Maana kila mtu kajikita kwenye ubunge...kwa nini ya uraisi hayazungumziwi wala kutolewa?
maneno ya wakosaji hayo....
jk amepiga stop wasiyatangaze anaogopa yatasababisha tention nchini kwa kuwa matokeo ya awali yanaonyesha slaa anaongoza...wakuu lengo la kugoma kutangaza pia ni kusababisha watu waanze kuyadai....ili watume vikosi vya jeshi kuzima vurugu feki na ikiwemo kusababisha mabox yavurugike alafu uchaguzi uwe umeharibika...
sele hatujali kama dr anashind au hashindi ...tunalalamika kwa nini matokeo ya urais yamesitishwa kutangazwa live....tunatangaziwa ya ubunge tu ...hii italeta tension bure alafu askari waingile kujifanya wanazima vurugu...tunataka amani!!