Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
akuibie nani wewe jamani?
Wanavyokuibia mkeo nyumbani ndio unaona kila kitu unaibiwa tu!
vipi bado mnategemea apate asilimia 88%%.....kumbuka hata dr slaa akipata 45%...ni hatua kubwa ....!!!.....lakini mmeona wenyewe maeneo mengi slaa ameongoza .....tunasubiri .....ccm wachakachue ili kupata turn out ya 20 million waliyoahidi labda ndo atapata 70%% bati haki bin haki ameanguka na pua!!
I am curbing my enthusiasm.
kinachokuwasha na kukuumiza ni hii hali ya amani iliyopo tz unatamani wewe askari wafanye fujo na amani itoweke huna lolote!
Wazowea nazi samli hawaiwezi!
Hofu yangu ni kwamba JF naona interest ya waliowengi ni kwenye majimbo ya uchaguzi ambayo yanaonesha Chadema inaongoza na hawataki kabsaaaa kusema pale Chadema inapoangukia pua ndio maana nakua na wasiwasi juu ya taarifa nyingi. sitaki tuumizane kwa kupeana matumaini makubwa. Dr. JK bado atashinda ila kwa asilimia ngapi, bado nim kitendawili. Thithiem bado wako fiti maeneo mengi kinoma.
akuibie nani wewe jamani?
wanavyokuibia mkeo nyumbani ndio unaona kila kitu unaibiwa tu!
Kaka matokeo yalivyo yanaonyesha kwamba hali si nzuri kabisa kwa CCM, japo Chadema nao wako kama wameshitukizwa na nguvu ya umma, yaani hata baadhi yao wanaonekana hawajajiandaa kuongoza nchi wako bz na ubunge wao... sasa hii ni hatari. Hebu fanya utafiti mdogo uone, miko ambayo ina idadi kubwa ya watu ndiko ambako Dk. Slaa amepata kura nyingi na baadhi ya mikoa wamegawana na CCM, wakati CCM imezoa kura maeneo yenye idadi ndogo ya watu na huko wamegawana na CUF, mfano Lindi, Mtwara, baadhi ya maeneo ya Pwani, Singida, Dodoma na Morogoro (ambako Chadema nako wamo sana). Sasa kwa hali ilivyo kama Chadema wangekuwa makini mwaka huu ni wa kushika madaraka na si suala la ubunge tu.
hofu mnajitengenezea wenyewe bila sababu, ukishahakikisha kuwa kura za mbunge ndiyo sahihi, ina maana na za uraisi pale nazo zitakuwa sahihi,
sasa kama mbeya mjini Dr. wa ukweli kambwaga dk. kwa zaidi ya kura 17.something elfu hivi , tusubiri jamani.