Matokeo ya usajili mpya kwenye kutupia

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Wafuatao ni wachezaji wapya wa kigeni na mafanikio yao kwenye mechi za awali.

SINGIDA BIG STARS
Wabrazili wawili kati ya watatu wametupia.

SIMBA:
OKRAH([emoji460]️)
OKWA([emoji460]️)
PHIRI([emoji460]️)
DEJAN([emoji460]️).
AKPAN([emoji777])
OATARRA([emoji777])

YANGA:
KI AZIZ([emoji777])
KAMBOLE(not yet play)
BIGIRIMANA([emoji777])
MORISON([emoji777])
JOYCE LOMALISSA([emoji777])

Kwa usajili huu, je, timu yako imesajili ipasavyo?
 
Kwani Morrisson bado hajawafungia tu watani zangu, hebu chukua data upya.
 
Analysis ya Kijinga kabisa.

Aliyesajili vizuri tutamjua kadri league inavyoendelea. Haraka ya nini?
N.B Sio wachezaji wote wanaletwa kufunga.
 
Utahira katika ubora wake!!

Kuna wachezaji hawasajiliwi kufunga, endapo atafunga ni ni bahati mzuri ila Sio jukumu lake mama!!!

Nsfikiri ungewalinganisha Kwa nafasi zao walau ungekuwa binadam mwenye akili.

Viungo.

Azizi key asisti ngap.....
Okra asisti ngapi....
...... N.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…