Matokeo Ya Utafiti

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Imethibitishwa kuwa, wanawake walio wengi wana viwiko vyeusi.
Weusi au usugu huo unatokana na wao kupendelea au kulazimishwa kutumia kwa muda mrefu staili moja ya kifo cha mende.

Utafiti huo umeenda mbali zaidi kwa kuwaasa wazazi, kuwachunguza mabinti zao, ili waweze jua mapema uwezekana wa mabinti zao kuanza mchezo huo kabla ya wakati.
 
na wakaka nao????????//
utafiti unaonyesha ukimwona mkaka KIUNO CHAKE KIMEKAA PEMBEN BASI UJUE anapenda sana mchezo mbaya.....na ukimwona mbaba ivi ana ndevu km za nyau basi ujue.........!!!!!!
nawasilisha.
 
Duh yawezekana wadau maana kuna wadada wengine utaona viwiko vimekomaaaa nyeusiiiiiiii vina sugu mtindo mmoja kumbe ni KIFO cha MENDE kwa kwenda mbele hahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Duh yawezekana wadau maana kuna wadada wengine utaona viwiko vimekomaaaa nyeusiiiiiiii vina sugu mtindo mmoja kumbe ni KIFO cha MENDE kwa kwenda mbele hahahahahahahahahahahahahahahaha

Kuhimili up & down thrust si mchezi, lazma pale pagangamale.
 
Imethibitishwa kuwa, wanawake walio wengi wana viwiko vyeusi.
Weusi au usugu huo unatokana na wao kupendelea au kulazimishwa kutumia kwa muda mrefu staili moja ya kifo cha mende..

Hizo kwenye Red ni vitu gani
 
Duh yawezekana wadau maana kuna wadada wengine utaona viwiko vimekomaaaa nyeusiiiiiiii vina sugu mtindo mmoja kumbe ni KIFO cha MENDE kwa kwenda mbele hahahahahahahahahahahahahahahaha

Weusi wa kiwiko unatokana mkusanyiko mwingi wa seli mfu za ngozi. Mara nyingi hali hii hutokea kwa wale wasiojisugua kwenye eneo hilo la kiwiko wakati wakioga na matokeo yake yanakuwa ndiyo hayo.

Hayo mambo sijui ya kifo cha mende ni usasili tu.
 
Hizo kwenye Red ni vitu gani

Kiwiko=elbow/ kipepsi (hivi huu msamiati asili yake nini?)
kifo cha mende=missionary style (man on top/ woman on bottom) Hivi mende ndio wanakufaga hivyo?
 
Kiwiko=elbow/ kipepsi (hivi huu msamiati asili yake nini?)
kifo cha mende=missionary style (man on top/ woman on bottom) Hivi mende ndio wanakufaga hivyo?

Kaka unajibu na kutoa swali....Kepsi hata mie ningependa jua asili ya huo msamiati...Kifo cha mende...yes..mende ukitaka afe mbinue tu...miguu iwe juu....that is done...for good...atakuwa hapo till death find him alive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…