Matokeo ya vyuo vya ualimu hewan leo

Naomba mnisaidie wadau tofauti ya aina ya mafunzo ya AWALI na KAWAIDA kwasababu mm nimechaguliwa mafunzo ya AWALI.
 
Kawaida n mwalimu anayefundisha madaras ya juu, pia awali ni kufundisha darasa la kwanz kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…