H HOSEA EMANUEL Member Joined May 30, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Aug 2, 2013 #1 tatizo la serikali ya tz ipo mfukoni mwa watu tumesikia walimu wa grade na diploma mwaka huu wa 2013 matokeo yao si mazuri nawapa pole ndugu zangu tatizo ni sera mbovu ya serikali ya ccm ya sahihisha ufaulu uendane na kipato cha nchi kuweza kuwajili
tatizo la serikali ya tz ipo mfukoni mwa watu tumesikia walimu wa grade na diploma mwaka huu wa 2013 matokeo yao si mazuri nawapa pole ndugu zangu tatizo ni sera mbovu ya serikali ya ccm ya sahihisha ufaulu uendane na kipato cha nchi kuweza kuwajili