Matokeo ya waliochaguliwa vyuo TCU

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,920
Reaction score
3,240
Hey guys, nimesikia matokeo yatatoka tarehe 4 mwezi wa 8.. Hawa jamaa mbona wanatufanyia hivi? Sipendi ahadi za uongo, walisema yatatoka ktk wiki ya kwanza mwezi wa saba, mpaka leo hamna kitu!

Kama umefaulu fresh ya nin uwe na wasiwasi dogo?chuo utapata 2

Hey guys, nimesikia matokeo yatatoka tarehe 3 mwezi wa 8.. Hawa jamaa mbona wanatufanyia hivi? Sipendi ahadi za uongo, walisema yatatoka ktk wiki ya kwanza mwezi wa saba, mpaka leo hamna kitu!
tcu wamesemda walojiandikisha ni wachache sana,ni 58elf,kat yao ni wa setifiket na pre entr umoumo,then wanaobaka wanatosha vyuo viwili tu,UD na UDOM,je vyuo vngne ataenda nan?wameamua 1st of agast ambao hawakujirejista tcu wajiandkishe kuanzia hyo tar!!

cdhan ka hzo ni data ni za kweli,ina maan wanafunzi waliofaulu wote ni sawa na wanafunz wa vyuo viwili 2?

It seems una habari nzuri lakini hizo abbreviations zimetia kinyaa. Nimeshindwa kuelewa ujumbe wako

Nimesema hyo statistics ya walioomba,sio walofaul na ndio maana wameamua kuweka 2nd round ya appl.
cdhan ka hzo ni data ni za kweli,ina maan wanafunzi waliofaulu wote ni sawa na wanafunz wa vyuo viwili 2?

Nimesema hyo statistics ya walioomba,sio walofaul na ndio maana wameamua kuweka 2nd round ya appl.

he we dogo uko fasta, si usubiri tcu watakuchagua kama chuo we utaenda tu if u have qualified. vp lile lyf la Kwiro high school na Kimbunga wenu.

Memalza mwk '10 teh teh teh

he he he he! we dogo Rama na huku nako upoo, mungu wangu, we c unajiitaga eti mgawa mikopo wa HESLB! Eti kwa wadada tu. hili jumba huliwezi better urudi kule kule mjengo wa masharouhalo wenzetu.

Kakaaaa,nipo bhana,nimejiresign ktk usherowberrow!me sa hv ni great sinker na sio Thinker!

he he he he! we dogo Rama na huku nako upoo, mungu wangu, we c unajiitaga eti mgawa mikopo wa HESLB! Eti kwa wadada tu. hili jumba huliwezi better urudi kule kule mjengo wa masharouhalo wenzetu.

Tena hyo yangu ni ya HGE ntapata chuo eh?

kikubwa ni kuwa na princpal mbili,bt uctegemee ud au sua,hao wako complicated sana.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…