kikubwa ni kuwa na princpal mbili,bt uctegemee ud au sua,hao wako complicated sana.

Hey guys, nimesikia matokeo yatatoka tarehe 3 mwezi wa 8.. Hawa jamaa mbona wanatufanyia hivi? Sipendi ahadi za uongo, walisema yatatoka ktk wiki ya kwanza mwezi wa saba, mpaka leo hamna kitu!

Ahaaa,me nina ya 13 bwana!!na pia niliangalia requirements ya kila programme nlojaza!

Siku hizi mambo ni tofauti kabisa,materials yamezagaa lakini watoto hawasomi tena sasa mpaka mtu wa points 17 anapata chuo tena University level..mhh! Elimu mdebwedo kwelikweli

wewe co kwamba wacwac!kuwekana nyumban mwaka mzma anapenda nani?

tcu watatoa majina tar 04.08.11 comfimed!!

waenda vyuo mna mbwembwe! Hivi wakiyatoa sasa yatakufanya uende huko muda huu? Ratiba ya vyuo ipo pale pale.

mbona mkuu unaogopa hivyoo wakati unapelekwa chuo cha kata UDOM

sa we ulitaka asipate,au ndo roho mbaya?

Siku hizi mambo ni tofauti kabisa,materials yamezagaa lakini watoto hawasomi tena sasa mpaka mtu wa points 17 anapata chuo tena University level..mhh! Elimu mdebwedo kwelikweli

umejitahid but c unajua arts mkopo ni kwa dv 1&2 so ka hujaomba education itakula kwako dogo.

Point 17 inaweza kuwa div IV au div III inategemea umefauluje ktk combination yako!

Kama una principle 2 hiyo inakuwa div III ila ukiwa na principle 1 inakuwa div IV, kwa mfano ukipata EEF hiyo ni III ya 17 ila ukipata ESS hiyo ni IV ya 17.