Matokeo ya waliochaguliwa vyuo TCU

Wewe Dickson Tumsiime, hiyo font color gani unayotumia hapa !?

Thanx kwa taarifa, itanibidi nipige dili lingine la tempo maana hili linaisha mkataba hivi karibuni. Duh!

wametangaza majibu tayari ila watatoa majina sept. Pamoja na asilimia za mkopo.

washatufanya magunia ya mazoezi mbona kwenye page yao hamna new feed...kikawaida hawa kuwa wajibisha tume yote yabaki majengo na mafail

Naskia wamechaguliwa wanafunz elfu 4 tu,so jipimeni nyie ka mtakuwepo.

Naskia wamechaguliwa wanafunz elfu 4 tu,so jipimeni nyie ka mtakuwepo.

sioe elfu 4, elfu 31 mkuu kati ya 40 elfu. Waliokosa elfu 9, elfu 4 ndo wanaoweza kuomba tena.

Senetor anamind katam0to wa2 aarif..
Ila ucwaze nshamz0ea.

sioe elfu 4, elfu 31 mkuu kati ya 40 elfu. Waliokosa elfu 9, elfu 4 ndo wanaoweza kuomba tena.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…