Matokeo ya yanga yanawadhalilisha wasojua mpira

Matokeo ya yanga yanawadhalilisha wasojua mpira

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Mpira si mchezo rahisi kama wanavobwabwaja wasojua mpira kuhusu matokeo ya yanga.

Duniani kote mpinzani akija na mbinu sahih ya kuzuia, matokeo hupatikana kwa matumizi sahih ya nafasi chache zitokanazo na makosa ya mpinzani/uwezo binafsi wa mchezaji.

Refer mechi za city vs arsenal, city vs bayern, city vs madrid/atletico ndo utajua ilivyo ngumu kupata matokeo kwa mpinzani mwenye approach ya kuzuia.

Tatizo la kumfungua mpinzani anaezuia ni la kidunia hivo kumlaum gamond ni kuukosea mpira heshima.

Yanga msimu huu kacheza mechi 9 rasmi za kimashindano na kashinda yote, kascore 26 na karuhusu 1.

Yanga ina timu imara sana ndo maana mpinzani akifungwa chache anasherehekea.
 
Lakini magoli sio 26 tena, ni manne, na ndipo hapo paliposababisha hadi uzi huu uanzishwe
Msimu bado mbichi, watu watulize mihemko, football haijawah kua rahisi hivo ndo maana madrid bingwa wa uefa na laliga ana sare 3 laliga.
 
Back
Top Bottom