Matokeo yanavyoendelea KENYA , Odinga hawezi kushinda

MWIGOLA

Senior Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
173
Reaction score
52
WAJAMENI, Matokeo yanavyoendeleaKENYA , Odinga hawezi kushinda
Kwa kuwa kura zilizopigwa ni milioni 11, nusu ya hizo nikura milioni 5.5
Kwa kuwa kwa sasa uhuru ana kura milioni 5
Kwa kuwa wagombeawengine nkura zao pamoja na zilizoharibika ni kama 0.5 milioni,
Hii ina maana odinga sasa hawezi kufikisha zaidi ya asilimia50.
Kwa hivyo kinachoendelea ni aidha uhuru atangazwe ktkmajumisho ya kura ya mwisho au aingie duru ya pili kura zisipotosha. Na kwa maana hiyo ODINGAHAWEZI KUSHINDA KWA DURU YA KWANZA.
KWA HIYO HATA KAMA UKILALAUSITEGEMEE UKASIKIA ODINGA ANATANGAZWA KASHINDA.
KUNA MAWILI AIDHA KUWE NADURU YA PILI AU UHURU ATANGAZWE
 
Upo sahihi Mkuu
 
The best he can do ni kulazimisha uchaguzi kurudiwa.
 
Unachokisema ni sahihi kama imefikia hapo ............. ila hiyo data umeipata wapi?? Source please!!

According to http://elections.nation.co.ke/ matokeo mpaka sasa;

Total Vote: 9,626,382 from 224 of 290 repoted constituencies

Uhuru Kenytta: 4,828,090 (49.7 %)
Raila Odinga: 4,260,030 (43.9 %)

The best he can do ni kulazimisha uchaguzi kurudiwa.

Kwa kufuata taratibu zilizoainishwa na katiba yao mpya na siivinginevyo.....

Pia Uhuru amepata kura nyingi pia kutokana na 'sympathy' kutoka kwa wakenya wanaomuonea huruma kutokana na kesi yake huko The Hague. Na hii imetokana na Raila kuibua suala hili wakati wa mdahalo wa kwanza. Swala lile lilionekana kuwa Raila hakuwa tayari kwa maridhiano kutokana na majeraha ya uchaguzi uliopita hivyo inaonekana Raila akiwa rais atasaidia watuhumiwa wahukumiwe na the Hague wakati wakenya wengi hawataki hiyo kitu.
 
Source ndugu yangu ni tv ya kenya kwa tunaotumia madishi ya free aiar kwa ku inaitwa k24 hiyo ni live update kuona na kusikia juu ya uchaguzi tu mpaka kieleweke saa 24, kwa sasa nikupe update maana natoka kidogo ni kuwa uhuru ana 5,115,704 na raila odinga ana 4,513,223. Umefanya vizuri kuuliza. Hiyo source yako nami ninayo isipokuwa inarekodi sio live. Live ni k24 wajameni
unachokisema ni sahihi kama imefikia hapo ............. Ila hiyo data umeipata wapi?? Source please!!

According to Kenya Elections: Elections 2013 - Elections Coverage matokeo mpaka sasa;

total vote: 9,626,382 from 224 of 290 repoted constituencies

uhuru kenytta: 4,828,090 (49.7 %)
raila odinga: 4,260,030 (43.9 %)

Kwa kufuata taratibu zilizoainishwa na katiba yao mpya na siivinginevyo.....Pia Uhuru amepata kura nyingi pia kutokana na 'sympathy' kutoka kwa wakenya wanaomuonea huruma kutokana na kesi yake huko The Hague. Na hii imetokana na Raila kuibua suala hili wakati wa mdahalo wa kwanza. Swala lile lilionekana kuwa Raila hakuwa tayari kwa maridhiano kutokana na majeraha ya uchaguzi uliopita hivyo inaonekana Raila akiwa rais atasaidia watuhumiwa wahukumiwe na the Hague wakati wakenya wengi hawataki hiyo kitu.
Kwani Uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya na akakutwa na makosa kwa hiyo kesi hawezi kuhukumiwa kwa sababu ni Rais wa nchi? maana nashindwa kuelewa kauli yako.
 
Source ndugu yangu ni tv ya kenya kwa tunaotumia madishi ya free aiar kwa ku inaitwa k24 hiyo ni live update kuona na kusikia juu ya uchaguzi tu mpaka kieleweke saa 24, kwa sasa nikupe update maana natoka kidogo ni kuwa uhuru ana 5,115,704 na raila odinga ana 4,513,223. Umefanya vizuri kuuliza. Hiyo source yako nami ninayo isipokuwa inarekodi sio live. Live ni k24 wajameni

Thanx,

ngoja niingie nipate habari za sasa maana from here I am meeting a Kenyan friend (Kikuyu) for a beer I need to be ready for an argument...............!!!!
 
Odinga angeweza tu kushinda endapo ile CONSTANT FIGURE ya kura 600,000 iliopenyezwa kwenye system ingeondolewa.

Tofauti na hapo mshindi mwenye kupigiwa chapuo na hiyo idadi kubwa ya 'KURA ZA KI-MALAIKA' alikua anajulikana tangu juzi.

Pamoja na yote, siku zote kisicho haki hukwama kooni kinapoliwa na yule asiye haki.
 
Kwani Uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya na akakutwa na makosa kwa hiyo kesi hawezi kuhukumiwa kwa sababu ni Rais wa nchi? maana nashindwa kuelewa kauli yako.

Rais akiwa madarakani hapelekwi the Heague ndo maana hata Kagame anataka kupindisha miaka ya utawala Rwanda ili asishtakiwe kwa mauaji ya Kimabari ya mwaka 1994 Rwanda na yale ya Kimbari ya Mashariki ya DRC. Wehuoni akina Charles Tailor na mwenzake wa Ivory Coast walisubiri kwanza watoke kwenye urais ndo wakashtakiwa?
 
Back
Top Bottom