Matokeo yangu ni haya nahitaji kusoma computer science chuo gani kitanikubali

Ingia websites za vyuo vyote vyenye kutoa hiyo course, then angalia Qualifications huwa wanaonesha.
 
Habari

Matokeo yangu ya form 4 nina division 2 :20 nahitaji kusoma computer science sio advance chuo gani kitanikubali

Phy D
Math D
Chem C
Bios. C
Geo B

Sina F yoyote
Kuna ifm na DIT(dsm institute of technology) vyote vipo posta dar
 
Download Nacte Admission Guide ya 2021 halafu pitia vyuo uchague. Una option ya computer science na information technology. Vyuo vingi vina hitaji D4 non-religious subjects kama minimum.
 
Habari

Matokeo yangu ya form 4 nina division 2 :20 nahitaji kusoma computer science sio advance chuo gani kitanikubali

Phy D
Math D
Chem C
Bios. C
Geo B

Sina F yoyote
Trust me , Vyuo ni DIT na ATC (Arusha Technical College) vilivyobaki vyote ni story tu hakuna kitu zinafundisha
 
Habari

Matokeo yangu ya form 4 nina division 2 :20 nahitaji kusoma computer science sio advance chuo gani kitanikubali

Phy D
Math D
Chem C
Bios. C
Geo B

Sina F yoyote
achana na computer science mtaan kugumu utakaa muda tu bila ajira nenda kasome phermacy bwana mdogo utakuja nishukuru cheti tu kumkodisha mtu afungue duka la dawa sio chini ya laki nane kwa mwezi, nina washikaji zangu kibao wanatafuta vyeti vya phermacy kwaajili ya kufungua phermacy
 
Phermacy kama phermacy.
 
Back
Top Bottom