Kuna ifm na DIT(dsm institute of technology) vyote vipo posta darHabari
Matokeo yangu ya form 4 nina division 2 :20 nahitaji kusoma computer science sio advance chuo gani kitanikubali
Phy D
Math D
Chem C
Bios. C
Geo B
Sina F yoyote
Trust me , Vyuo ni DIT na ATC (Arusha Technical College) vilivyobaki vyote ni story tu hakuna kitu zinafundishaHabari
Matokeo yangu ya form 4 nina division 2 :20 nahitaji kusoma computer science sio advance chuo gani kitanikubali
Phy D
Math D
Chem C
Bios. C
Geo B
Sina F yoyote
achana na computer science mtaan kugumu utakaa muda tu bila ajira nenda kasome phermacy bwana mdogo utakuja nishukuru cheti tu kumkodisha mtu afungue duka la dawa sio chini ya laki nane kwa mwezi, nina washikaji zangu kibao wanatafuta vyeti vya phermacy kwaajili ya kufungua phermacyHabari
Matokeo yangu ya form 4 nina division 2 :20 nahitaji kusoma computer science sio advance chuo gani kitanikubali
Phy D
Math D
Chem C
Bios. C
Geo B
Sina F yoyote
Phermacy kama phermacy.achana na computer science mtaan kugumu utakaa muda tu bila ajira nenda kasome phermacy bwana mdogo utakuja nishukuru cheti tu kumkodisha mtu afungue duka la dawa sio chini ya laki nane kwa mwezi, nina washikaji zangu kibao wanatafuta vyeti vya phermacy kwaajili ya kufungua phermacy
Mleta mada komaa hapa hapa. Ukitoka nje na hapa utakuwa wale wanaotakanwa kila siku mkikosea kazi za watuTrust me , Vyuo ni DIT na ATC (Arusha Technical College) vilivyobaki vyote ni story tu hakuna kitu zinafundisha