Matokeo yetu na shule zao za Kata

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Matokeo ya kidato cha sita yako hewani. Yanaonyesha ufaulu kuporomoka. Zero zimepiga hodi hadi Mzumbe na Malangali,kutaja chache. Wengi wamepata daraja la tatu. Hawa wanaelekea wapi? Ikumbukwe kuwa darasa hili ndilo lenye wahitimu wa Shule za Kata. Hao wamechangia anguko hili? Serikali itasema:ufaulu umepanda...
 
Pitia google,halafu tafuta necta,halafu option ya kwanza...karibu!
 
Tupe source mkuu kwamba waliopata III form 6 ni wahitimu wa shule za kata.
 

Tafuta data kwanza. Sekondari za kata zilianza rasmi 2005. walimaliza kidato cha 4 mwaka 2008, na kidato cha 6 walimaliza mwaka 2011.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…