Matola anatosha

Maisha Ni Vita babu .hayo Ni maisha ya kisiasa Ni akili yako na ushapu wako kungamua wapi utapata pesa kwa mbinu zozote ulitaka Nani waende bungeni

Hata hao wa bunge wa ccm wengi wako pale isivyo halali hili hawalisemi hkn mbunge pale hata tulia Yuko pale isivyo halali jaribu kulitazama hili kwa wabunge wengi jins walivyo ingia kimazabe so wakina mdee wapambane maisha Ni vita
 
Duh inahusiana vipi na Matola, kocha wa Simba kwa sasa
 
Alipimwa lini kuwa hana tactics na game plan katika mechi za kimataifa? Pablo alikuwa na tactics?
 
jichanganyeni hata kidogo tuu, muumie mazima…………...
 
Simba ni kubwa sana kwa uwezo wa matola, ni kocha mzuri Ila sio kwa levels za Simba
 
Baada ya mpira wa Leo huko songea mrudi Tena kumpamba huyo matola wenu.
Timu inazidiwa mbinu na timu iliyoshuka daraja ,kibaya zaidi tumebanwa mbavu mwanzo mwisho.

Matola yupi wa kupewa timu mtu anayepanga timu km ya mchangani vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…