NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Sina mengi sana ila habari zimeshavuja.
Mnapenda sana uzawa kwenye timu,hamzingatii uwezo wa mchezaji na kuwakandia wachezaji wa kigeni kuwa si lolote na niwapita njia tuu.
Mnaigawa timu kwa figisu mbalimbali ili timu ipoteze baadhi ya michezo lengo ni kuhakikisha kocha Fadlu anatimuliwa lengo Mgunda apewe nafasi na mishe zenu za asilimia kumi niendelee.
Matola tunakumbuka jinsi ulivyosababishwa tutolewa na Galaxy Juaneng kwa kukaidi maagizo ya aliyekuwa kocha mkuu Didier Gomes.
Tunakumbuka ulivyokuwa unalazimisha Pascal Wawa aingie uwanjani bila ya kumshirikisha aliyekuwa kocha mkuu Pablo.Hii ilitokea wakati Simba ilipokuwa inacheza na KMC katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi (Tabora).