Matola Mungu anakuona

Matola Mungu anakuona

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Yanga 1-1 lipuli

Simba 1-1 lipuli

Binafsi nimependezwa na mwalimu huyu yupo professional zaidi tofauti na minziro na Julio ambao wanajulikuna

24ca2f1ecd941f96955b6c77dc08d292.jpg
 
Ukweli usemwe Simba huwa inaumizwa zaidi na watu wanaohusiana zaidi kuliko timu nyingine yoyote hapa nchini. Nadhani falsafa ya Simba ni urafiki nyumbani, uwanjani kazi. True professionalism
 
Simba Sports Club, msajirini Asante Kwasi kwenye hili dilisha dogo achukue nafasi ya beki Mwanjali ambaye inaonekana Umri unamsumbua.
 
Back
Top Bottom