William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Matola simpendi yule mzee, sijui likoje yaani.
Aaaah
ππππ linaniboa jamani lile limtu, khaaahhaahaa eti sijui likoje, muha yule
Matola mjini kitamboWashabiki hawamtaki Matola tokea Zamani mno. Kila kocha hufukuzwa na kubaki yaye tu ana nini.
Kocha wa timu kubwa sio kazi ya kilamtu. Shabiki gani atalipia kiingilio kwenda kumuangalia matola.
Kwa wazawa Mgunda anaiweza Simba kuliko mbongo yoyote. Gharama za kawaida tu.
Kongo alikuwepo ibenge. South Afrika alikuwepo Pisto Masinane. Chelsea alikuwepo Mourinho, Man U Alex Fargason, Arsenal Wenger na brazil Mario Zagaro.
Simba ni Mgunda.
Sawa sawaMatola anawekwa na viongozi hapo wanaopanga Timu nani acheze na nani asicheze kwa maslahi ya viongozi na 10 % wanayopata kutoka kwa hao wachezaji wao simba wameachwa wachezaji wazuri hao wanaoletwa utani mtupu hii ni Klabu Bingwa sio kombe la shirikisho.