Matola tofautisha ndondo cup na ligi kuu, ibadilishe timu yako la sivyo hufai kuwa kocha wa mpira

Ile timu ilinikumbusha enzi za umtashumta. Ukiwaangalia wachezaji wanavyobehave hawatofautiana na vitoto vya shule enzi za umtashumta. Ni kama mabandits waliookotwa na kuletwa uwanjani, bogus kabisa.
 
unatakiwa kuwapongeza lipuli, wamejitahidi sana. kwanza ujue ndala a.k.a Yeboyebo walikuwa wanagomboa, na almanusura waongezewe lingine. badala ya kuwakatisha tamaa, wapongeze. wale Lipuli wakikaa vizuri hata simba wanaweza kuwasumbua vizuri tu. ngoja tuone mechi ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…