Matonya aingia mitini na hela za jide

Matonya aingia mitini na hela za jide

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
SABABU ZA MATONYA KUTOSHIRIKI SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE



Tetesi zinaweza kuwa za ukweli au pengine zikawa ni story za kujitungiaLakini tetesi zinasema kuwa Matonya alipigiwa simu na wazee wa fitna mara tu waliposkia kuwa atashiriki onyesho la miaka 13 ya JayDee, wakamwambia aachane na hiyo show na kuwa watampa hela ambayo angelipwa kwenye show hiyo.

Na pia wangemuandalia show yake mwenyewe kubwa zaidi ya hiyo miaka 13 ya JayDee,Hizo ni fununu, ambazo hazina uhakika.

Lakini tukirudi upande wa Matonya ambae alishapokea mpaka malipo ya awali na kukubali kufanya show baadae akachomoa ni kama ifuatavyo.

MATONYA: Kaka kumbe tarehe ni lini kumbe:

CAPTAIN: Ni Ijumaa tar 31 May 2013 kaka mwezi ujao. Tutakuwa na Linah, Jay, Barnaba, Matonya, TID, hamza Kalala

MATONYA: Kaka kumradh sana kuimba na band kwasasa sitoweza manake mtaitaji mandalizi makubwa ili nifanye kazi vzr_ningeomba nitizamwe ktk kazi ingine bro kumradh sana

CAPTAIN: Du! Nshatangaza ilikuwa kaka lakini sawa. Je ntapata ile hela kaka nilipe wengine ndg yangu

MATONYA: Aisee hata nimekosa raha kukujuza iliswala br_kesho satano mtampa yule rafki angu anaitwa pizon_walikuja kuleta ile pesa ya gari kwaio wataileta apo apo oficen

CAPTAIN: Sawa kaka usijali, Nitashukuru akiileta ili huku nisipate lawama

MATONYA: ok bro


Mara kimyaaaaaaa....... baada ya siku mbili tatu maongezi yakaendelea

CAPTAIN: Naam kaka mzigo haujaletwa. Tafadhali ileteni tu hiyo hela ya watu kaka mi napewa lawama isitoshe we ni ndugu yangu usikubali hela ndogo iharibu.

MATONYA: Gadna aiwezi kuwa ivyo_kuna mapungufu kidogo nayaweka sawa uipate kumradh sana brother

CAPTAIN: Asante

Siku ikapita tena

MATONYA: Kaka kdg kunamisteki nimecheza,, lakini wiki hii haitapita mtakuona bro nimekwama kaka lakini ntajua cha haraka

CAPTAIN: Sijaelewa kaka ni laki **** tu kunirudishia nduguyo nilipe wasanii wengine kwani kuna tatizo au

MATONYA: Bro naskia haya - skutaka hata kuku2mia msg mlitaka ni2we namzigo 2 ila kunambio kdg zimekwamisha nikaona bora kukujuza kuliko kukaa kimya bro tatizo haliwezi


CAPTAIN: Sawa we ni ndugu yangu, basi nisaidie tu irudi hiyo advance niliyokupa ili uniepushe na lawama huku kaka. Au niende kwa bimkubwa Tanga nikalalamike? Ha haaaa haaa

CAPTAIN: Fanya hivyo mdogo wangu nilitaka uwepo ktk show kwa upendo tu lakini haijawa, basi nisaidie tu kurudisha hiyo advance maana nadaiwa na wasanii wengine niwape. Au sio?

MATONYA: Kaka nibendi ndio haya yangu kwasasa nastaki kuharibu kazi yako bora niwe mkweli.. Naswala lako halitoki kichwani bro

CAPTAIN: Sawa jamaa yangu, basi nisaidie ile advance irudi ili niweke mambo sawa huku, mimi sina mdhamini mpaka leo aliyetoa hela, najitegemea tu mfukoni, naomba nirudishie nilipe wengine..Au namoro matonya we ni ndugu yangu?

MATONYA: Sawa brother mtalisimamia soon nikuweke sawa sawa brother - akuna litakalo shindikana kaka amini 2


CAPTAIN: Utarudisha lini nipe uhakika kaka, niko na shida


Mazungumzo ndio kama hayo mmeyasoma.

Mpaka blog inaingia mitamboni leo, advance haijarudishwa na hakuna jibu la kueleweka.

Wazee wa fitna kama zile tetesi ni kweli kuwa mmemzuia Matonya asifany hii show ya miaka 13 ya JayDee, na hela ameshaitumia! Kwanini msimsaidie kuirejesha mambo yaishe??

CHANZO : www. ladyjaydee.blogspot.com
 
Hahahaha..clouds media wameamua kukaba kila nukta. Kazi kwenu wasanii kuungana na mwenzenu ili kuutokomeza uharamia ama kuungana na haramia na kumuumiza msanii mwenzenu. Lakini kitaeleweka tu...
 
heading na ulichokiandika ndani kama vimepishana kidogo hebu weka vizuri nikuelewe bro. kwa hiyo hapo sababu ni ipi?
 
arghhhhhhh......JIDE ACHA KULIALIA PIGA SHOW MWENYEWE MAISHA YANAKWENDA..."WITH US OR AGAINST US" THATS A ANTHEM
 
hivi hawa kina Kubaki na Ruge,theythink who are they jamani?leave Jide jamani
 
Wazee fitina wakiachiwa wataharibu nchi hii
 
Huo ni upande mmoja tu wa sarafu. Pande zingine mbili bado hazijasikika.

Hivyo msiwe wepesi sana wa kuanza kuamini amini tu kila kitu aropokacho huyo binti bila kuwa na subira ya kuskiza pande zingine nazo zina lipi au yepi ya kusema.
 
Tuache uongo twende kwenye ukweli. Jide kama jide hawezi kusimama mwenyewe bila mgongo wa clouds .aka kubebwa.na kwa wasio amini wabaki hivyo hivyo. Lakini ukweli ndio huo. Sasa mazungumzo ya mtu unayemdai unayaweka kwenye blogs ili iweje . Mbona wakati unampa hukuweka kwenye blog yako. Matonya amekataa kupiga kwenye hiyo show co amegundua haitafana bila clouds. Thts all
 
Hivi kila mtu akiweka kwenye blog maongezi yake na watu wanaomdai itakuwaje
 
Hapa kuna ka ukweli kwenye body ,lakini yangu macho na masikio.
 
Duh hii series ina episode nyingi kumbe

Sent from Samsung tablet
 
niliwahi
kusikia
uyu
matonya
anajenga
bonge
la
hotel
morogoro,nikweli?
 
Tuache uongo twende kwenye ukweli. Jide kama jide hawezi kusimama mwenyewe bila mgongo wa clouds .aka kubebwa.na kwa wasio amini wabaki hivyo hivyo. Lakini ukweli ndio huo. Sasa mazungumzo ya mtu unayemdai unayaweka kwenye blogs ili iweje . Mbona wakati unampa hukuweka kwenye blog yako. Matonya amekataa kupiga kwenye hiyo show co amegundua haitafana bila clouds. Thts all

Kupe kwa hili mmmhg ! Mi naona haiko sahii , lazima tukubali na ukubali kwamba kuna kipindi cha kusimama wew kama wew , kumfanyia mtu roho mbaya ili asifanikiwe ni mambo ambayo tunatskiwa tuyapinge , mi naamini kuna shoo nyingi ambazo zinafanyika dar na hazifanyiwi promo na clauds na zinafanikiwa , tumwache anaeumia atoe lake la moyoni , na kwa sbb ameona hapa ndo pa kusemea si mbaya , lkn kila jambo lina mwanzo na mwisho. Tukubali muda mwingine kutokuwa tegemezi mi nna hakika wew mimi tunaweza!
 
Back
Top Bottom