Matonya aliamsha dude ni kuhusu wimbo wa zilipendwa

Ukijibiwa niite mke mwenza.
Nishaona wabongo kibao wanaxhukua title za muziki ambao zishawahi kuwapo hapo awali. No credit to demand,since zilipendwa ni neno ambalo Hata Ex wako unaweza muita.
Anaitwa basata ana trade mark nalo???
 
Anasema ameibiwa nini? Kuna Zuwena ya Marijani, Shida ya Mbaraka Mwinsehe, kuna Bambo, Muhogo mchungu, Mr. Nice na wengine kibao hadi Nyerere na TANU hao wote ni mali ya Matonya.??

ACHA nikae KIMYA...!
naona ume mind kuliko mond mwenyewe!!!!!!
 
Ameibiwa Idea? Matonya ameimba wimbo wenye Idea ya kuumizwa kimapenzi, yeye hakukopi? Kila unachoimba Leo kilikuwa idea ya mtu zamani na kuna mtu alishakiimba, uitwe mwizi wa idea??

ACHA nikae KIMYA...!
 
Hamza kalala-nimekusamehe
20%-nimekusamehe

Rick ross- sorry
Justin bieber- sorry
Ruben studdard-sorry 2004

Fid q ft bizman-mama
Celine dion-mama

Sugu-hakuna matata
Stella mwangi-hakuna matata

Matonya-unanimaliza
Ray C-unanimaliza

Dully-salome
Saida kaloli-salome

Kama wewe ni mtu wa mziki utakua umeelewa...lakini kama sio mtu wa mziki endelea na safari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba uniambie maana ye neno hili ulilotumia -amekupiwa?

Na kwann umetokwa povu ivyo kwa kitu cha ukweli?

Au ww ni dada yake chibu?
 
Mnaleta hoja nyepesi mno sijui mmezaliwa mortuary? Hii nayo ni hoja eti kaibiwa Idea? Alikuwa wapi kuilinda kwa hati miliki tujue Sasa neno "zilipendwa" ni mali ya Matonya na wengine marufuku kulitumia?

ACHA nikae KIMYA...!
Kaka mi sipo huko uliko

ulichoandika nakiunga mkono.

ninachosema Kwanini ume mind kuliko mond?

NB; usipanic

tumia lugha nzuri.
 
Huyo nae zilipendwa hovyo tonya.....yeye alienda kwa east african melody kuomba kutumia hilo jina la wimbo wa zilipendwa?

"ukijijua mchochezi...andaa mkojo"
 
Ukijibiwa niite mke mwenza.
Nishaona wabongo kibao wanaxhukua title za muziki ambao zishawahi kuwapo hapo awali. No credit to demand,since zilipendwa ni neno ambalo Hata Ex wako unaweza muita.
Anaitwa basata ana trade mark nalo???
Mi naona kesi iiende mahakamani tuone kama atashinda. Na itakuwa ni fundisho kwa vilaza
 
Albert Msando na wakina kibatala fursa ya kupiga Pesa ndefu...nashangaa mnasema jina tu tatizo mpangilio mzima ni copy kwa Matonya....safari hii hamtoki Tonya boy komaa wadai 5B wakaoshe vyoo vya GSM
 

maisha yamempiga anatafuta pa kutokea
 
Hahahahaha nimecheka sana jamani kweli njaa haina huruma kaona ndo pakutokea nayeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…