Matonya amvaa Lady Jaydee, kisa picha ya udhalilishaji


hii picha mtu wa kwanza kupost alikua...... yule jamaa aloimba "mtaani kwetu" (jina limenitoka kidogo sijiui yuko msalani?) ila yeye aliandika hivi "sitaki kuamini habari zinazo sambaa mitandaoni kua matonya hatunae tena,matonya ni jirani yangu ngoja nimtafute then nitawajulisha kinacho endelea".
 
Last edited by a moderator:
Sasa picha ni ya video povu la nini? Pili kama kweli ulilewa ukawa hujitambui jide angekupa vipi taarifa kwamba anapost picha yako ilihali hujitambui? Dumb nut
 
kwa nini Lady JD ana mabifu na watu wengi? tutamtetea kila siku mpaka lini?

watu wengi wakina nani? sasa kama wanamchokoza anyamaze?ili iweje ebu mwachen apumue aseeh
 
huyu matonya mpumbavu sana alitumwa akanywe gongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…