Matonya Azidisha Ulevi Hadi Kupoteza Fahamu..

dexterous

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
2,037
Reaction score
3,134
Msanii wa bongo flava Seif Shabani "Matonya" amefungua mwaka 2015 kwa aibu kubwa baada ya picha kuvuja kwenye mitandao ikimwonyesha akiwa amelewa chakari hajitambui.

Picha hiyo inasemekana ilipigwa jana maeneo ya Kunduchi jijini Dar es salaam, na uvumi ukaenea eti Matonya amerudisha namba, nilipojaribu kucheki na Matonya sikuweza kumpata ikabidi nicheki na jirani yake ambaye pia ni Star wa Bongo flava "Richy One" yeye akatoboa kuwa jamaa ni mzima wa afya na aliongea nae asubuhi ya leo ila anahisi labda watu wabaya watakua walimuongezea kilevi kingine kwenye Pombe yake.

Ama kweli Pombe sio Chai!

Chanzo: Soudy brown
 

Attachments

  • matonyaaaaa.jpg
    21.5 KB · Views: 2,612
Uyu jamaa Mpuuzi sana,Mlevi noma.Nilisafir nae siku moja toka Mby kama WK mbili zilizopita ni mlevi sana asie jitambua.kwani ulevi wake unawakela Mpaka watu wa jirani Na siti yake.Wakawa wanawaka Mara awaekee Mikono juu ya vichwa vyao mala awavute nywele yani ni full vurugu za hangover.Jamaa inaonekana aliamkia Club na kusafir
 
Hivi tuhuma kama hiyo utaikanaje na picha ndiyo hiyo au atasema wameedit
 
huyu bora angepigwa zile mvua sabini kule china baas maana anaelekea siko
 
tumbo ndo lishamuacha hivyo,akiendelea kuongeza carolies bila kuzitoa ataishia kuiona tumbo litazuia kufika kunako..mamichemsho na bia hayo...kunywa brandy na dry wine,acha chips mayai,kula samaki achana na nyama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…