Matonya na ney wa mitego ndani ya kahama.

Matonya na ney wa mitego ndani ya kahama.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,646
Wakuu nipo hapa nashuhudia live matonya na nay wanashuka ktk bus tayari kwa ajili ya tamasha kubwa lililo andaliwa na vodacom litakalo fanyika kesho viwanja vya wazi kadeco. Hii ni kuwatoa hofu wale wanao famamu kuwa matonya yupo hatiani kwa kosa la madawa ya kulevya.Source mimi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom