Tunzo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 4,128 Reaction score 2,452 May 10, 2014 #1 Tractors zenye ubora aina ya SWARAJ na SAME yaliyopitishwa na kampuni ya Kimataifa ya ubora (ISO) na kupitishwa na wizara ya kilimo yanapatikana kwa bei nafuu, watanzania tuchangamkie fursa hii, kwa maelezo zaidi 0684448888
Tractors zenye ubora aina ya SWARAJ na SAME yaliyopitishwa na kampuni ya Kimataifa ya ubora (ISO) na kupitishwa na wizara ya kilimo yanapatikana kwa bei nafuu, watanzania tuchangamkie fursa hii, kwa maelezo zaidi 0684448888
Samuel Doe Senior Member Joined Apr 8, 2014 Posts 134 Reaction score 30 May 10, 2014 #2 Ahsante.. Nitakupigia mkuu nataka nianza ujasiliamali wa kilimo.. Ungeeleza pia na utaratibu wa kukopa trekta, aina za trekta na bei zake tafadhali
Ahsante.. Nitakupigia mkuu nataka nianza ujasiliamali wa kilimo.. Ungeeleza pia na utaratibu wa kukopa trekta, aina za trekta na bei zake tafadhali
Tunzo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 4,128 Reaction score 2,452 May 10, 2014 Thread starter #3 Samuel Doe said: Ahsante.. Nitakupigia mkuu nataka nianza ujasiliamali wa kilimo.. Ungeeleza pia na utaratibu wa kukopa trekta, aina za trekta na bei zake tafadhali Click to expand... Sawa mkuu ila yapo aina njingi na kwa bei tofaut ndo mana nikaweka namba ya simu km mtu atataka maelezo zaid anapiga
Samuel Doe said: Ahsante.. Nitakupigia mkuu nataka nianza ujasiliamali wa kilimo.. Ungeeleza pia na utaratibu wa kukopa trekta, aina za trekta na bei zake tafadhali Click to expand... Sawa mkuu ila yapo aina njingi na kwa bei tofaut ndo mana nikaweka namba ya simu km mtu atataka maelezo zaid anapiga
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 May 10, 2014 #4 Ofisi zenu ziko wapi? tukitaka kuyaona na kupata ufanunuzi zaidi, tupia humu japo picha basi.