Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Sikutumia lugha chafu, harafu unadhani walikuwa sawa askaribwa kiume kunigusa gusa, mbona nimesafiri sehemu mbali mbali nje hawatumii mkono kukagua mfano ningekuwa na madawa nimeyatia ndani ya parachichi moja moja wangejuaje kwa kugusa na mkono watu tuna pedi, tuna nguo za ndai kwenye mabegi harafu wewe askari wa kiume unafunua funua kwa mkono ni haki kweli?
Wee mwenyewe utakuwa askari, tatizo lenu nyie ni fomu foo felia, yaani unidharilishe kwa kunishika shika, usambaze nguo zangu harafu me ndo niwe na makosa, harafu yule ndo msaidizi wangu wa sheria, kiufupi ni kama wakili wangu nikipataga matatizo nilifanya kosa kumpigia mwanasheria wangu?Ulipokosea ni kumkataza asikague mzigo wa parachichi
Ungemwambia afungue aangalie na si kubonyeza
Hapo ulikuwa na makosa makubwa mno mkuu
Halafu usije ukarudia kumpigia simu Rafiki yako katika hali km hiyo utamkosesha kazi next time
And vice versa...Huwa najikuta nina hasira sana pale napomuona traffik au askari yeyote barabarani kiukweli, kuna siku natoka Tanga kwenda Arusha kwa basi la abiria
Tulipofika sijui Mwanga mbele ya Same tukakuta maafande pale, mmoja akaingia ndani akawa anakagua mabegi ya abiria kwa kuminya minya alipofika kwangu nilikuwa na mfuko nina parachichi akawa anaminya nikamwambia kuna parachichi asiminye yatatoboka akawa anakaidi
Tukabishana pale akanishusha kutoka kwenye gari tena kwa kunisukuma kwa nguvu, nikamwambia anataka makuu yaani alinidhalilisha sana tena alivyokuwa wakiume na alikuwa kanishika shika nakasema huyu namfungulia kesi ya kunidharilisha
Tulisumbuana sana kiukweli mwisho wa siku akanilipa pesa kidogo nisiende mbele, tatizo lao wanajifanyaga wajuaji kweli yaani wajikuta wanajua kila kitu yaani harafu ubabe ubabe yaani ukiwa chini yao ufuate kila kitu wanachotaka
Nikiwa pale nilijaribu kupiga simu eti wakanizuia nikajiuliza ni sheria ipi inayo zuia mtu kuwasiliana na mtu wake mfano pale nilitaka kumpigia rafiki yangu yupo kituo cha haki za binadamu Arusha
Wee mwenyewe utakuwa askari, tatizo lenu nyie ni fomu foo felia, yaani unidharilishe kwa kunishika shika, usambaze nguo zangu harafu me ndo niwe na makosa, harafu yule ndo msaidizi wangu wa sheria, kiufupi ni kama wakili wangu nikipataga matatizo nilifanya kosa kumpigia mwanasheria wangu?
Wee kweli popoma, kwa hiyo ningewekwa ndani ndugu zangu wangepaje taarifa pia?
sasa wewe maparachichi matunda yameminywa unarusha ngumi,halafu huko juu unadai unatumia 100% kufikiri hakuna nguvu.
hukufikiri tu kidogo kwamba kazi aliyokuwa akiifanya hapo ni kubwa kuliko maparachichi yako.nyie ndio mnawafanya traffic/polisi wawadharirishe bila ulazima.
We sista niaje!Wee mwenyewe utakuwa askari, tatizo lenu nyie ni fomu foo felia, yaani unidharilishe kwa kunishika shika, usambaze nguo zangu harafu me ndo niwe na makosa, harafu yule ndo msaidizi wangu wa sheria, kiufupi ni kama wakili wangu nikipataga matatizo nilifanya kosa kumpigia mwanasheria wangu?
Wee kweli popoma, kwa hiyo ningewekwa ndani ndugu zangu wangepaje taarifa pia?
Tanzania ni nchi inayoongoza kwa wahandisi vilaza.. pale mwenge dawa yake ni moja tu.. ROUND-ABOUT..Hapo ndipo umuhimu wa Flyover unapoonekana,Kama mtu unanyoosha Mwenge - Tegeta unapanda Juu unaamsha popo na kama unatoka mcity unaenda morocco unapita chini hapo kutakuwa hakuna mambo ya kugandishana kwenye taa kama ilivyo sasa.
Kwa kweli baba wewe sio mstaarabu.nani kakwambia askari wanapenda kukaa juani hadi wamekuwa weusi?pengine kuna msafara,wagonjwa wa mloganzila wanawahishwa wapone.kwa kweli wewe baba hufai.kama ulitaka kuwahi si ungeondoka jana?Traffik Tanzania ni wajinga na wapumbavu. Nasema hivyo kwasababu hawajui wanachokifanya. Nipo mataa ya mwenge toka saa 11 jion na sasa ni saa 1 usiku. (31 oct 2019)
Traffik wewe mpumbavu unaruhusu gari za kutoka mjini kwenda Tegeta na kusababisha foleni ndefu sana ya magari yanayotokea ubungo (Sam Nujoma) na kutokea Cocacola road.
Trafiki hamjui kuwa kazi yenu ni kuondoa foleni na sio kusababisha foleni. Unaporuhusu gari za upande mmoja tu inadhihirisha upumbavu wenu nyie matrafik.
Haya ndio madhara ya serikali kuajiri mapolisi ambao 99% kati yao ni form 4 failures.
umenifurahisha mno kwa elimu uliyompa huyu hayawani.Nimecheka kinoma tena kwa sauti .Umesahau kuwa ili uwe dereva ulifanyiwa usahili na Traffic hao hao,Umesahau ukipata ajali wanakuhudumia ili upate kulipwa bima ni hao hao,Umesahau kuwa hao hao ndiyo wanaoongoza misafara yote viongozi wa nchi,Umesahau kuwa hao Traffick ndiyo wanaoongoza hili jiji LA Dar es salaam katika junction .Umesahau kuwa magari yote ya hili jiji asubuhi yanakwenda posta na kariakoo na jioni ndiyo yanarudi ,He Umesahau wanaomiliki magari wengi wao wanatokea kuanzia mwenge kueleke boko?.Kumbuka tena kuna barabara nyingine kutoka salender bridge kuja mwenge zina magari mengi sana na zinajaza magari bagamoyo road. Mwisho nakokotoa kwa kusema taifa hili linawhandisi majinga kuliko waandisi wote duniani wameshindwa kubuni mbinu mbadala ya kutatua foleni za hii nchi wameachia Traffic wafanye hiyo kazi. Mwisho wewe unayetokea Ubungo huu muda huna umuhimu sana kama anayetokea Posta maana ofisi zote za serikali zipo Posta ofisi za mashirika na makampuniy makubwa zipo posta,mabenki yote yapo posta na wanaotokea airport wanapita nyerere road wanaingia Ally hassan mwinyi kisha Bagamoyo road .Sasa wewe umetoka wapi?.Bila shaka wewe ni mpiga debe wa pale Ubungo stendi unatusumbua wasafiri tunaotaka kwenda mikoani. Kumbuka tena huwezi kupata elimu ya Usalama barabarani kokote kule bila kuwa afisa wa polisi maana wewe utafundishwa kanuni,sheria na alama za barabarani,Ila hutofundishwa barabarani gani ipendelewe zaidi kuliko nyingine,Hutofundishwa kujua misafara ya siri yaviongozi inakuaje,Hutofundishwa majambazi wablokiwa vipi barabarani,Hutofundishwa kupeleleza ajali inapimwa vipi ,Hivyo hata use na PHD yako ya nyuki au kujenga maghorofa bila kwenda chuo cha polisi wewe ni mbumbumbu sana kuliko yule form failure unayemsema ambaye amefundishwa kufanya kazi kama mwanajeshi inapobidi kutumia medani hizo rejea kumbukumbu ujambazi Ubungo ,kufanya kazi kama daktari anapokuokoa unapopata ajali au kuzoa mzoga wako unapkuwa umesagwa na lorry, anapofanya kazi kama mwanasheria anapokupeleka mahakamani upate haki yako ulipwe bima au ufungwe kwa madhara uliyesababisha ,Kumbuka Huyo ndiye anayskuokoa kwa kukumbusha funga mkanda ukipata ajali utachomoka. Tuulizane swali rahisi tu hivi MTU Aliyepata form Four failure ndiye anayeajiriwa na serikali? Hivi wewe kwenye hicho chuo kikuu ulichosoma hakuna wahitimu wanaofanya kazi polisi? Je hao unaowajua unafikiri wakati wanaajiriwa walianzia na cheo kikubwa?.Je unafikiri huyo Traffic anayekupimia ajali uliyesababisha,unayekujazia taarifa zako vizuri mpaka unapata lesseni, anayekutolea ushaidi mahakamani mpaka unafungwa ? Bado unaamini hana elimu.Je wahitimi wa vyuo vikuu huwa wanafanya usahili wa ajira katika polisi ili iweje .au ukishajiliwa na polisi tu hata kama unaphd unakuwa form four failure. Acha hasira kwa vitu usivyovijua umaskini wa nchi hii ni mkubwa sana na aibu kubwa inaficha na hawa Mapolisi maana bila kufanya hayo wayafanyao mambo huwa hovyohovyo .
Ni kweli nakubali sina utofauti na huyo poti fomu foo felia.Tofauti yako wewe na huyo poti fomu foo felia haipo, kama huwezi kujua kwamba kuna watu wana PHD na hawajui kuandika sababu labda hawakubobea kwenye uandishi au lugha
Wewe ndo wale wanaoamini kuwa mtu akiongea tu kiingereza ni msomi (kumbe ile ni lugha tu kama kisukuma, sema labda ina wazungumzaji wengi)
Na upopoma wako unajifanya kunikosoa, kwa taarifa yako mimi nina taaluma ya afya, kuandika kwangu haraka kusikufanye unilinganishe na hao fomu foo felia wanaotumia nguvu 99.9%, akili 0.1%
Me kazi yangu 100% ni akili nguvu natumia 0.00000%, kwanza mpango wa Mungu kazi ya ulinzi ilikuwa ya mbwa tu! Hao watu wanaojiita maafande wamechukua kazi ya mbwa na watahukumia siku ya kiama kumpoka mbwa kazi yake
Futa hiyo fikra kuwa walioishia form 4 wote walifeli au hawana akiri, wapi ambayo hawakuchaguliwa na huenda wana akiri kuliko wewe. Usipende kutumia lugha jumuishi kwa tatizo la mtu mmoja.Traffik Tanzania ni wajinga na wapumbavu. Nasema hivyo kwasababu hawajui wanachokifanya. Nipo mataa ya mwenge toka saa 11 jion na sasa ni saa 1 usiku. (31 oct 2019)
Traffik wewe mpumbavu unaruhusu gari za kutoka mjini kwenda Tegeta na kusababisha foleni ndefu sana ya magari yanayotokea ubungo (Sam Nujoma) na kutokea Cocacola road.
Trafiki hamjui kuwa kazi yenu ni kuondoa foleni na sio kusababisha foleni. Unaporuhusu gari za upande mmoja tu inadhihirisha upumbavu wenu nyie matrafik.
Haya ndio madhara ya serikali kuajiri mapolisi ambao 99% kati yao ni form 4 failures.
Wewe mpumbavu kwan ambulance si ina siren (kingora)?Kwa kweli baba wewe sio mstaarabu.nani kakwambia askari wanapenda kukaa juani hadi wamekuwa weusi?pengine kuna msafara,wagonjwa wa mloganzila wanawahishwa wapone.kwa kweli wewe baba hufai.kama ulitaka kuwahi si ungeondoka jana?
Futa hiyo fikra kuwa walioishia form 4 wote walifeli au hawana akiri, wapi ambayo hawakuchaguliwa na huenda wana akiri kuliko wewe. Usipende kutumia lugha jumuishi kwa tatizo la mtu mmoja.
Hivi watu wengine mnawazaje au mnatumia nini kuwaza? Yaani kweli askari anaekagua kwa kuminya kitu kipo ndani ya mfuko usio onesha kitu au begi harafu unasema anafanya kazi kubwa (ya maana),sasa wewe maparachichi matunda yameminywa unarusha ngumi,halafu huko juu unadai unatumia 100% kufikiri hakuna nguvu.
hukufikiri tu kidogo kwamba kazi aliyokuwa akiifanya hapo ni kubwa kuliko maparachichi yako.nyie ndio mnawafanya traffic/polisi wawadharirishe bila ulazima.
Aisee kwa huo ujuaji wako ukiingia kwmy anga zao watakupa tabu sana mkuu.Hivi watu wengine mnawazaje au mnatumia nini kuwaza? Yaani kweli askari anaekagua kwa kuminya kitu kipo ndani ya mfuko usio onesha kitu au begi harafu unasema anafanya kazi kubwa (ya maana),
Mfano ningekuwa na mabomu kwa kuminya minya vile si angeuwa basi zima, harafu vipi kama nina bangi nimezifunga vzr kwa kitu kisichotoa harufu angejua tu pia kwa kuminya minya vile?, hebu tumieni akili jamani!
Au airport napo wangekuwa wanaminya minya tu vile unazani tungekuwa salama kweli? Nyie hamjawahi ona maaskari wa nje wanavyo fanya ndio maana mnawatetea wa hapa hamjui makosa mangapi wanafanya kiusalama
Ona maaskari wa UK kwa mfano kwenye mipira viwanjani wao wanaenda kuweka usalama sio wa hapa kwetu ambao nao uwanjani huwa watazamaji, yaani likitokea tatizo jukwaani nao wanaanza kuulizana nini kimetokea ama wanapalamia tu yeyote yule pale penye tatizo
Wapeni vifaa maalumu sio watumie hisia
Ndio maana nikasema wewe popoma kwani unajua mimi nilifanya PhD kwa lugha gani? Au kiarabu nacho wanaandika kama Kiswahili na Kiingereza au unadhani dunia nzima wanasoma kwa lugha hizo mbili?Ni kweli nakubali sina utofauti na huyo poti fomu foo felia.
Litakuwa ni jambo la kushangaza kusikia au kuona msomi wa kiwango cha PhD eti hajui kuandika, ilhali PhD hiyo huwezi kuipata pasipo kukutana na maandishi au kupitia machapisho mbalimbali ukayaelewa pasipo kujua kuandika.
Sikuwa na lengo la kumkosoa mtu sababu najua hata mimi nina makosa kwenye uandishi, Ila nilifanya nilichofanya kukuonesha kuwa wewe unayeona mwenzako ana mapungufu kwenye uandishi wake kwa kile unachokiita fomu foo felia, na wewe una mapungufu pia katika uandishi wako. Sasa sijui ni sawa kama na wewe tutakuita fomu felia kisa umeonesha mapungufu kwenye uandishi ?
Nimeandika komenti yangu kwa kiswahili na ni msomi. Sijui hayo mawazo yako ya kuwa ni mtu nnayeamini mtu anayetumia kiingereza basi ni msomi ilhali nimetumia lugha yetu pendwa ya kiswahili ?
Ni jambo jema kuheshimu taaluma za watu. Dunia hii sote tunategemeana. Leo hii unapodharau taaluma ya mtu na kuuita kazi ya mbwa, unanifanya niwe na mashaka na wewe. Mshahara wako unaolipwa unatoka wapi ?
There is no way you can escape on this. Naona unajaribu kujimwambafai sio? Anza kwanza kwa kujifunza namna PhD inavyoandikwa kwanza kisha urudi. Lugha yoyote duniani lazima ina kanuni zake za uandishi. kwamba unataka kuniaminisha kuwa Kijerumani, kifaransa, kireno, kihindi na lugha nyingine hazina nukta, koma,wala alama za kuuliza kumbe.Ndio maana nikasema wewe popoma kwani unajua mimi nilifanya PHD kwa lugha gani? Au kiarabu nacho wanaandika kama Kiswahili na Kiingereza au unadhani dunia nzima wanasoma kwa lugha hizo mbili?
Maafande msio na vyeo mna nongwa ninyi eti hakuna lugha isiyo na kanuni kwani nani kakuambia anabisha sema hazifanani kuna wanao andika kutoka kulia kwenda kushoto, wapo pia wanaoandika kutoka kushoto kwenda kulia mfano unavgoitumia hii alama ( ' ) kuandika (ng'ombe) unadhani na Mreno nae anaitumia hivyo?There is no way you can escape on this. Naona unajaribu kujimwambafai sio? Anza kwanza kwa kujifunza namna PhD inavyoandikwa kwanza kisha urudi. Lugha yoyote duniani lazima ina kanuni zake za uandishi. kwamba unataka kuniaminisha kuwa Kijerumani, kifaransa, kireno, kihindi na lugha nyingine hazina nukta, koma,wala alama za kuuliza kumbe.
Hongera sana kwa PhD yako. Naomba unijuze uliipata kwa lugha gani ?Maafande msio na vyeo mna nongwa ninyi eti hakuna lugha isiyo na kanuni kwani nani kakuambia anabisha sema hazifanani kuna wanao andika kutoka kulia kwenda kushoto, wapo pia wanaoandika kutoka kushoto kwenda kulia mfano unavgoitumia hii alama ( ' ) kuandika (ng'ombe) unadhani na Mreno nae anaitumia hivyo?
Ila ukweli utapaki kuwa ukweli kuwa hamna kitu kielimu japo kichwani kuna wengine wapo vizuri ( maana kuna tofauti kati ya akili na elimu)
Wee afande utaharibu hapo lindoni hebu fanya kazi yako buana acha kuchat mimi mwenzako nipo hotelini nimetoka na shemeji yako usinifuateHongera sana kwa PhD yako. Naomba unijuze uliipata kwa lugha gani ?