Miss_Irene
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 320
- 456
Leo hauchomi watu sindano ?Wee afande utaharibu hapo lindoni hebu fanya kazi yako buana acha kuchat mimi mwenzako nipo hotelini nimetoka na shemeji yako usinifuate
Wachoma sindano wapo (mimi sio muuguzi), harafu nimekuambia kuwa makini poti ujue hapo lindoni lolote laweza kutokea kuwa makini acha kuchat!Leo hauchomi watu sindano ?
Bahati nzuri ni kwamba sina maisha kwenye huo upoti tajwa hapo. Maisha yangu yako kwenye UHANDISI ( kwa faida yako ni ENGINEERING). Halafu nimekuelewa,Ila harafu sio sahihi, bali halafu ni sahihi msomi wetu wa kiwango cha PhD.Wachoma sindano wapo (mimi sio muuguzi), harafu nimekuambia kuwa makini poti ujue hapo lindoni lolote laweza kutokea kuwa makini acha kuchat!
Eti eeeh! kumbe wewe ni mhandisi ama wewe ndo yule uliezinguliwa na MAGU kule Nachingwea, tatizo la wahandisi wetu pia hapa Bongoland ni wahandisi wa makaratasi, yaani kutuonesha uhandisi wenu kwa vitendo zero kabisaBahati nzuri ni kwamba sina maisha kwenye huo upoti tajwa hapo. Maisha yangu yako kwenye UHANDISI ( kwa faida yako ni ENGINEERING). Halafu nimekuelewa,Ila harafu sio sahihi, bali halafu ni sahihi msomi wetu wa kiwango cha PhD.
Elimu elimu elimu.Nimecheka kinoma tena kwa sauti .Umesahau kuwa ili uwe dereva ulifanyiwa usahili na Traffic hao hao,Umesahau ukipata ajali wanakuhudumia ili upate kulipwa bima ni hao hao,Umesahau kuwa hao hao ndiyo wanaoongoza misafara yote viongozi wa nchi,Umesahau kuwa hao Traffick ndiyo wanaoongoza hili jiji LA Dar es salaam katika junction .Umesahau kuwa magari yote ya hili jiji asubuhi yanakwenda posta na kariakoo na jioni ndiyo yanarudi ,He Umesahau wanaomiliki magari wengi wao wanatokea kuanzia mwenge kueleke boko?.Kumbuka tena kuna barabara nyingine kutoka salender bridge kuja mwenge zina magari mengi sana na zinajaza magari bagamoyo road. Mwisho nakokotoa kwa kusema taifa hili linawhandisi majinga kuliko waandisi wote duniani wameshindwa kubuni mbinu mbadala ya kutatua foleni za hii nchi wameachia Traffic wafanye hiyo kazi. Mwisho wewe unayetokea Ubungo huu muda huna umuhimu sana kama anayetokea Posta maana ofisi zote za serikali zipo Posta ofisi za mashirika na makampuniy makubwa zipo posta,mabenki yote yapo posta na wanaotokea airport wanapita nyerere road wanaingia Ally hassan mwinyi kisha Bagamoyo road .Sasa wewe umetoka wapi?.Bila shaka wewe ni mpiga debe wa pale Ubungo stendi unatusumbua wasafiri tunaotaka kwenda mikoani. Kumbuka tena huwezi kupata elimu ya Usalama barabarani kokote kule bila kuwa afisa wa polisi maana wewe utafundishwa kanuni,sheria na alama za barabarani,Ila hutofundishwa barabarani gani ipendelewe zaidi kuliko nyingine,Hutofundishwa kujua misafara ya siri yaviongozi inakuaje,Hutofundishwa majambazi wablokiwa vipi barabarani,Hutofundishwa kupeleleza ajali inapimwa vipi ,Hivyo hata use na PHD yako ya nyuki au kujenga maghorofa bila kwenda chuo cha polisi wewe ni mbumbumbu sana kuliko yule form failure unayemsema ambaye amefundishwa kufanya kazi kama mwanajeshi inapobidi kutumia medani hizo rejea kumbukumbu ujambazi Ubungo ,kufanya kazi kama daktari anapokuokoa unapopata ajali au kuzoa mzoga wako unapkuwa umesagwa na lorry, anapofanya kazi kama mwanasheria anapokupeleka mahakamani upate haki yako ulipwe bima au ufungwe kwa madhara uliyesababisha ,Kumbuka Huyo ndiye anayskuokoa kwa kukumbusha funga mkanda ukipata ajali utachomoka. Tuulizane swali rahisi tu hivi MTU Aliyepata form Four failure ndiye anayeajiriwa na serikali? Hivi wewe kwenye hicho chuo kikuu ulichosoma hakuna wahitimu wanaofanya kazi polisi? Je hao unaowajua unafikiri wakati wanaajiriwa walianzia na cheo kikubwa?.Je unafikiri huyo Traffic anayekupimia ajali uliyesababisha,unayekujazia taarifa zako vizuri mpaka unapata lesseni, anayekutolea ushaidi mahakamani mpaka unafungwa ? Bado unaamini hana elimu.Je wahitimi wa vyuo vikuu huwa wanafanya usahili wa ajira katika polisi ili iweje .au ukishajiliwa na polisi tu hata kama unaphd unakuwa form four failure. Acha hasira kwa vitu usivyovijua umaskini wa nchi hii ni mkubwa sana na aibu kubwa inaficha na hawa Mapolisi maana bila kufanya hayo wayafanyao mambo huwa hovyohovyo .
Umeweka vizuri. Nirudi kwako sasa, kwenye hiyo tasnia yako ya afya, ni vitu gani umeshavifanya mpaka sasa ambayo vimeacha alama yako katika hiyo tasnia yako ?Eti eeeh! kumbe wewe ni mhandisi ama wewe ndo yule uliezinguliwa na MAGU kule Nachingwea, tatizo la wahandisi wetu pia hapa Bongoland ni wahandisi wa makaratasi, yaani kutuonesha uhandisi wenu kwa vitendo zero kabisa
Kuna wahandisi wenzako pale NIT waliunda gari kama mkokoteni wa punda (ila wafuate kwenye makaratasi sasa), Unaona jinsi miradi ya maji inavyosumbua nchini! Tena bora maafande wapo vizuri kuliko ninyi aiseee
Wee endelea kupendekeza mkuu, pendekeza na mbinguni aende!Elimu elimu elimu.
Napendekeza huyo Trafiki apandishwe cheo.
Mkuu kupendekeza ni mojawapo ya kipimo cha kutatua tatizo kama lipo.Wee endelea kupendekeza mkuu, pendekeza na mbinguni aende!
Duh!Traffik Tanzania ni wajinga na wapumbavu. Nasema hivyo kwasababu hawajui wanachokifanya. Nipo mataa ya mwenge toka saa 11 jion na sasa ni saa 1 usiku. (31 oct 2019)
Traffik wewe mpumbavu unaruhusu gari za kutoka mjini kwenda Tegeta na kusababisha foleni ndefu sana ya magari yanayotokea ubungo (Sam Nujoma) na kutokea Cocacola road.
Trafiki hamjui kuwa kazi yenu ni kuondoa foleni na sio kusababisha foleni. Unaporuhusu gari za upande mmoja tu inadhihirisha upumbavu wenu nyie matrafik.
Haya ndio madhara ya serikali kuajiri mapolisi ambao 99% kati yao ni form 4 failures.
Na wewe huujui mji tu,ulitakiwa uingie afrika sana,ukatoke bamaga ukaingie ITV utokee mikocheniTraffik Tanzania ni wajinga na wapumbavu. Nasema hivyo kwasababu hawajui wanachokifanya. Nipo mataa ya mwenge toka saa 11 jion na sasa ni saa 1 usiku. (31 oct 2019)
Traffik wewe mpumbavu unaruhusu gari za kutoka mjini kwenda Tegeta na kusababisha foleni ndefu sana ya magari yanayotokea ubungo (Sam Nujoma) na kutokea Cocacola road.
Trafiki hamjui kuwa kazi yenu ni kuondoa foleni na sio kusababisha foleni. Unaporuhusu gari za upande mmoja tu inadhihirisha upumbavu wenu nyie matrafik.
Haya ndio madhara ya serikali kuajiri mapolisi ambao 99% kati yao ni form 4 failures.
Wajua nilikua naelekea wapi? Au unaleta ujuaji tu?Na wewe huujui mji tu,ulitakiwa uingie afrika sana,ukatoke bamaga ukaingie ITV utokee mikocheni
Kuondoa gari mjini so mchezo
Kwa hiyo bora kolomije?Ila maisha ya dar ni basi tu sababu ya utafutaji lkn ni pa kishenzi sana.
Jana bosi alimaindi sana ulipobamiza geti kwa nguvu mpaka ukamshtua mtoto akaamka,amesema atakukata msahara!!Mimi mlinzi hapa getini kwa kanjibahi siyo Poti .ukipita getini niachie hats mia ninywe maji ya kandoro.Hayo niliyatoa ni fikra tu juu ya changamoto ya jiji letu .karibu hapa pan African sport club nafungua geti.
Kwa nini?Nimefurahi sana ulivyowekwa masaa mawili.