Matrafiki wa Tanzania hawajui wanachokifanya

Huyo police traffic mmoja wa mwenge ndio akufanye utuhumu traffic police wote wa Tanzania kana kwamba ushaendesha gari nje ya nchi hii na kuona performance zao wa huko?
 
Pole Sana mkuu!

Naona umemaindi Sana mkuu!

Acha tuvune!
 
uje nkufundisha kuandika vitu kwa Aya au uache hata nafasi

sema unaongea mpaka unarusha mate yani
 
Huyo police traffic mmoja wa mwenge ndio akufanye utuhumu traffic police wote wa Tanzania kana kwamba ushaendesha gari nje ya nchi hii na kuona performance zao wa huko?
Sijaendesha gari nje ya nchi lakini nimewahi kutumia barabara za nje ya nchi kama abiria.

Perfomance ya traffic management systems ya nchi za nje ni nzuri zaidi kuliko za kwetu. What else?
 
Mkuu pale ni fly over tena usanifu wa kina wafanye wakandarasi wa dunia ya kwanza,target kwamba kusiwe na kusubiri hapo yaani kila mtu anyooshe tu,anayetoka coka,anayetoka mcity,anayetoka tegeta,anayetoka moroco yaani unapiga kibati tu,round about lazima utasimama tu.
 
uje nkufundisha kuandika vitu kwa Aya au uache hata nafasi

sema unaongea mpaka unarusha mate yani
Comment yangu ndiyo iliyopata like nyingi na ndiyo iliyopata reply nyingi pamoja na kuiandika harakaharaka naamini bila shaka mnajua hii kazi ya ulinzi hapa kwa kanjibahi kila dakika ananituma Mara fungua lago Mara nenda nunua dengu ili mradi tu aninyonye vilivyo ila siyo mbaya huwa ananilipa mshara kwa wakati sana
Nirudi kwenye mada hapo juu Naamini ujumbe wangu umekuwa kama sindano maana ndiyo ukweli wenyewe Kuwa Hatuna elimu ya usalama barabarani na kama tunayo basi ni kidogo sana ndiyo maana tunavunja hsheria kila wakati. Jambo lingine ni Umbumbumbu wa wahaandisi wetu mfano round about kigogo palijengwa ili pasiwe na askari wa kuongoza magari ila Leo bila askari pale kigogo Ajali na kupigana pini lakini muandisi wa tena mwenye PHD anapendekeza papandwe maua badala ya kuweka mataa sasa askari anakuja na plan B kuwa kusifuatwe sheria ya round about Bali maelekezo yake wakazi wa Tabata wanaotokea kariakoo kwenda Kwao wanapita kigogo mashaidi. Bila kupepesa macho magari ya kwenda Tabata majira ya jioni kupitia kigogo ni mengi zaidi tena weka kumbukumbu sawa kuwa Tabata ni watu wa maisha ya kati hivyo wenye magari ni wengi bila shaka wasipopewa upendeleo katikati ya jiji Barabara zinajifunga.Hivyo ukiona upo barabara imejaa vitz,paso,ist na starlet bila kusahau Daladala nyingi jua kabisa foleni ni Mali yenu maana hamna madhara yeyote kwa ajira ya Huyo Traffic.Lakini asipopendelea Barabara zenye gari za milioni 100 kwenda juu ujue Siku zake kwenye utraffic zinahesabika.Traffick wote waliojifanya wanatenda haki kwenye barabara ya Ally Hassan Mwinyi na Bagamoyo ilikula kwao.Kumbuka Haiwezekani General mabeyo akae foleni,Mkurugenzi Tiss akae Foleni ,IGP akae foleni,Majaliwa na Suluhu wakae foleni,Kikwete,Mwinyi na Mkapa wakae foleni eti wewe unatoka ubungo upite kwanza.Sasa Huyo Traffic unamuone bure tu huna sifa za kupewa upendeleo .
 
Jana bosi alimaindi sana ulipobamiza geti kwa nguvu mpaka ukamshtua mtoto akaamka,amesema atakukata msahara!!
Kweli mkuu yaani kanifokea kinoma nikachezea na kofi nikataka nimlipilue Mara nikakumbuka ukoo mzima unanitegemea bila kusahau msoto wa jela nikachuna kaniambia atanikata elfu kuni yaani atanilipa 140,000/= badala ya 150,000/=.Inaniuma kinoma.
 
Umeweka vizuri. Nirudi kwako sasa, kwenye hiyo tasnia yako ya afya, ni vitu gani umeshavifanya mpaka sasa ambayo vimeacha alama yako katika hiyo tasnia yako ?
Huyo mavi tu ukifutilia utagundua mavimavi tu haka mwanaAfya anayeongea ujinga huo.
 
Mwenye kujua sifa za kuwa traffic polisi aziweke hapa
 
Na wewe huujui mji tu,ulitakiwa uingie afrika sana,ukatoke bamaga ukaingie ITV utokee mikocheni
Kuondoa gari mjini so mchezo
Ungetuma na ya kutolea kabisa akaweke mafuta ya huo mzunguko wote unaousema, au unadhani wote mjini wana IST za kuhongwa cc1490

Mkuu maisha magumu inatakiwa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima
 
Kwa iyo ukaona ukimbilie jf kulialiA! Haya sasa form 4 felia ndio huyo anaekupangia ww na phd yko muda wa kukaa foleni na huna la kufanya
Mkivaa Gwanda Mnavimba Na Kutumikaaaa.

Mkistaafu Mnatupwa Kama Kinyesi, Hohe Hahe Jalala Chakalaka!
 
Aisee hongere kwa fikra pevu kuona upumbavu wa Traffic Police eti kwasababu hawavuta njia unayotoka wewe bwana mkubwa. Nadhani haujauona umuhimu kwasababu hicho tu. Kimsingi hujaangalia mazingira ya kazi zao kwa ujumla na huduma wanayotoa kwa jamii kwa jamii zaidi ya kuvuta magari.Ni vema wakati mwingine kutotoa lugha za kejeli badala yake kuangalia ufumbuzi wa jambo.
Miundo mbinu ya Jiji la Dar hakuna asiyeijua na pia ukumbuke wanadamu huwa tunaishi kwa kutegemeana hata kama wewe ni tycoon au unapesa sasa kuna wakati ufike uuone umuhimu wa watu wengine kama hawa jamaa ili maisha yako yaendelee. Umekaa kwenye kiyoyozi cha gari ni haohao wapumbavu walikufanyia usaili wa kuwa dereva, ni haohao wapumbavu walikupitishia maombi ya kupata leseni ya udereva, ni haohao wapumbavu ukipata ajali watakuja kupima ukapewe haki zako kwenye bima. Ndugu mafanikio yako yote uliyonayo yapo kwa watu wa chini kama hao wapumbavu matraffic.
 
Huyu mtu msamehe,inawezekana kanunua gari juzi na alikuwa akiishi wapi huko mkoani.

Kwa wakongwe wa jiji,haijwahi kuwa habari kabisa kukaangwa kwenye foreni saa zima,maana kuna misafara,ajali,ubovu wa barabara nk.unaweza kaa kwenye foreni mpaka ukasinzia.
 
Na mimi najiuliza swali hilo hilo. Uzoefu wangu kila askari wanapokaa pembeni na kuachia taa ziongoze magari foleni zinapungua sana.
Ukweli ni kwamba foreni inapungua kwako tu.mfano taa za chang'ombe,unafikiri taa ziachwe zitoe muda sawa kwenye mikunjo na njia kuu foreni ya gongo la mboto itaunga mpaka tazara,wakati ya kutokea karume mkifurahia maisha.

Traffic anafanya kupunguza makali na kuweka wastani.
 
Kama ukiingia petrol station unaweka mafuta ya elf20 unaharibu pump tu, huna uwezo nahilo gari tumia usafiri wajamii.
Ungetuma na ya kutolea kabisa akaweke mafuta ya huo mzunguko wote unaousema, au unadhani wote mjini wana IST za kuhongwa cc1490

Mkuu maisha magumu inatakiwa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…