Matrafiki wa Tanzania hawajui wanachokifanya

Lugola anakutafuta....
 
Comment yangu ndiyo iliyopata like nyingi na ndiyo iliyopata reply nyingi pamoja na kuiandika harakaharaka

Asee katafute post za mtu anaitwa Kidukulilo then angalia comment anazobebaga halafu utarudi niambia

Anachoandikaga kidukulilo kina maana gani au kinakusaidia nini wewe msomaji?

Usifate likes humu JF maana huku watu likes wanazitoa tu so usizifatilie sanaaaaa zikakuchanganya.
 
Like maana yake nini?
 
Sasa wewe unaeandika harafu badala ya halafu,mkubari badala ya mkubali unawasema traffic mbumbumbu,kweli???kweli nyani haoni kundule,hiyo degree yako au form 4 pass yako sijui imekusaidia nini ilhali hata kiswahili fasaha hujui kuandika,so sad.
 
Haya wewe msomi wa PHD taaluma ya ya lugha haya ni baadhi tu ya maneno yako" fomu foo felia, mwandiko, pot, aisee, harafu,, kufeli,, vzr mkubari, haswaaa!',. Haaaaaaaaa aaaaaaaa..Wasomi mnaleta raha sana.
 
Mi waliwahi kunikamata chalinze saa tatu usiku natokea Moshi wakataka kuni takatisha eti nasafiri umbali mrefu pekeangu. Muda huohuo uruhusiwi kubeba abiria Hii nchi hii.
 
Mi waliwahi kunikamata chalinze saa tatu usiku natokea Moshi wakataka kuni takatisha eti nasafiri umbali mrefu pekeangu. Muda huohuo uruhusiwi kubeba abiria Hii nchi hii.
Mkuu wewe ni mtu mzima bana ukiona unahangaishwa sana jiongeze.halafu ile hela sio ya kuja kuilalamikia humu ni charity tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sijawahi kutana na foleni ya zaidi ya dakika 15 Dar....[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Sasa wewe unaeandika harafu badala ya halafu,mkubari badala ya mkubali unawasema traffic mbumbumbu,kweli???kweli nyani haoni kundule,hiyo degree yako au form 4 pass yako sijui imekusaidia nini ilhali hata kiswahili fasaha hujui kuandika,so sad.
Tanzania mataahira wengi sana, aliyekuambia kwamba usomi unapimwa kwa lugha nani? au unadhani wote tumesoma kwa Kiswahili na Kiingereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…