Matrecta bado yanalipa?

chodoo

Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
86
Reaction score
33
nimeletewa trecta ili niweze kukodisha kwa wakulima hivi jamani bado biashara hii inalipa na wapi kwa sasa yanahitajika ni Massey ferguso 375, naomba mnishauri
 
Yes inalipa sana nenda mikoani au mtafute malila wa JF akupe michongo.
 
ushawahi kuendesha hii biashara?.........weka picha za hilo trekta hapa
 
nimeletewa trecta ili niweze
kukodisha kwa wakulima hivi jamani bado biashara hii inalipa na wapi
kwa sasa yanahitajika ni Massey ferguso 375, naomba mnishauri

Tuwasiliane unatoka ni uhakika.Kinachotakiwa kujua ni muongozo wa kazi.E_mail:massareth@yahoo.com
 
Hiyo ni pesa kaka! Tena ufikirie kuanzisha mashamba yako pia.
 
ninajitahidi kuweza kupata angalau contact za huko ili nipate angalau na mimi km heka hamsini nilime na kuendelea na biashara ya kukodisha kwa wengine any one with contact za huko naomba anisaidie
 
Chodoo hebu weka mrejesho hapa jamvini!
Vipi hiyo massey Fugerson kama imepiga mzigo mambo yamekuwaje?
Ulienda kupiga kazi maeneo gani? ifakara, Kilosa au gairo?
hebu tupe picha halisi.
 
JK ameshaiharibu hii biashara aisee na Matrekta yake ya Suma JKT (Japo kwa mkulima ni jambo zuri) trekta zimekuwa nyingi siku hizi japokuwa ukiwa nalo hulali njaaa
 
Lipo ifakara kijiji cha kikwawila, linaendelea kupiga Mzigo ingawaje kuna challenge za hapa na pale lakini bado yanahitajika msimu ndio unakaribia mwishoni
 
Kuna kitu ambacho watu hawajajua Kuhusu Tracta,

Matrecta yanauwezo wa Kufanya kazi nyingi sana kuliko mashine ypoyote ile,

1. Yana Saga Unga

2. Yana Drill Visima

3. Ynachimba mashimo

4. Yana fyeka

5. Yanapukuchua mahindi

6. Yana lima Barabara kama ma greda

Ni nyingi sana kinacho takiwa ni kutafuta hizo vifaa vayke ambavyo mara nyingi vinapatikana nje ya Nchi, Sema watu wengi wakiagiza trecta wana kumbuka Jembe na Tela pekee
,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…